Rais Kikwete ateua bodi mpya ya TANESCO

Tatizo la tanesco sio bodi,ziundwe hata 100,000,000,000,000 hazitasaidia kitu,leo bodi itaundwa na huyu,kesho yule.Tanesco iachwe ifanye kazi zake yenyewe,serikali iisimamie.Serikali iache kuingiza siasa kwenye miradi ya tanesco na plani zao.
 
Kikwete ameshindwa aturudishie nchi yetu, aende akawafuate hao wanaomuhonga huko Ughaibuni hatumtaki hapa Tanzania
 
Mboma ni Fisadi mkubwa sana na ndiye aliyeingiza ufisadi Jeshini!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11
 
Mvua si zinanyesha? Watu huendeshwa kwa matukio. Shida ikilegea sote tutajua ni jitihada za uteuzi kumbe nature.
 
Sasa huyo Ret. Gen. Mboma ndiye mwenyekiti wa board ya wakurugenzi wa TPDC ambayo pia ipo chini ya Wizara hiyo hiyo ya Nishati na Madini chini ya Ngereja.

Hilo Shirika mmoja tu anapata nalo taabu linamshinda, na sasa anapewa jingine TANESCO lenye matatizo lukuki!!!!

Nchi itafika kweli tunakotaka kwenda? Je, ni kweli watanzania Million 40 hatuna watu wengine wanaoweza kuwa wenyeviti wa hiyo board na waka perform vizuri badala ya kurundikiana vyeo mtu mmoja?
 
Huyu Mboma ndiye alikuwa mkuu wa majeshi wakati jeshi lilipoingia ubia na wasouth Africa kuchimba dhahabu [ Gideon sayore akiwa chief of Staff] na ndipo fedha nyingi kupitia kampuni ya MEREMETA ZILIPOKWAPULIWA!! Kwa kumchagua huyu bwana mkweree ana ajenda ya siri na sio kuisaidia nchi.
 
1. Bw. Baruany Elijah A. T. Luhanga
2. Bw. Ridhiwan Ali Masudi
3. Bw. Leonard R. Masanja
4. Bw. Vintan W. Mbiro
5. Bw. Beatus P. Segeja
6. Bw. Hassan Ally Mbaruk
7. Mhe. Victor K. Mwambalaswa (Mb.)
8. Bw. Abdul Ibrahim Kitula


Imetolewa na:
WIZARA YA NISHATI NA MADINI

Hili la wabunge kwenye Bodi za mashirika ya Umma hawajakoma tu..?
 
..huyo Mwambalaswa siyo yule mwenye kampuni ya umeme akiwa na ubia na Dr.Mwakyembe?
mkuu umenena. kama ni kweli basi hapa kuna conflict of interests 2:

Kwanza mbunge hastahili kuwa mjumbe kwa kuwa akiwa bungeni anatakiwa aisimamie TANESCO sasa atasimamiaje wakati yeye ndio mtoa maamuzi?

Pili kama ana kampuni ya umeme basi yeye ni mshindani wa TANESCO kwa hiyo hawezi kuitendea haki! Anaweza kuihujumu kwa faida ya kampuni yake.
 
Mkuu jina la Ridhwan lilivyomjaa basi akaamua bora atafute yeyote yule mwenye jina hilo, kwani angemchagua dogo ingekuwa noma!
 
Huyu robert mboma mwizi mkubwa ndio anapewa uenyekiti wa bodi, jk be serious bwana.
 
Ingekuwa vyema angewapa Jeshi waendeshe TANESCO maana hawa ndugu zetu wa uraiani wameshindwa kabisa.

hata kama bodi nzima ikiwa ni wanajeshi haisaidii kitu iwapo watakuwa na tabia ileile ya kiTZ ya kudharau ushauri wa kitaalam na badala yake kuendesha shirika au kutatua matatizo kisiasa na kwa manufaa binafsi! I doubt mboma's credibility!
 
Mboma tena?!! Nchi ina maajabu mengi. Huyu jamaa pia ni mwenyekiti wa Bodi ya TPDC ambayo iko katika wizara hii ya Madini na Nishati. Kuna siku tutakataa huu upuuzi!!!
 
HIVI HAWA WANA ELIMU GANI ZA KIBIASHARA NA ELECTRICAL ENGIBEERING? AU bado enz za giza zinaendeleaaaaaa?
 
JK is always a big joke.....................mboma na umeme wapi na wapi?

sanasana Jk anapanga watu wa kulinda masilahi yake................nchi hii tuna wasomi wengi wenye fani husika...................lakini sifa ya ccm ni kuwadhalilisha...................na huku wakijigamba watatuletea maendeleo yanayopaa........................what ineptitude........
 
Ingekuwa vyema angewapa Jeshi waendeshe TANESCO maana hawa ndugu zetu wa uraiani wameshindwa kabisa.

Hao Wanajeshi mbona walishindwa kuhakikisha mabomu katika maghala yao kule gongo la mboto na mbagala hayaleti maafa na hasara kubwa kwa Watanzania? na yale ya meremeta mbona wamekuwa kimya kabisa huku $155 million zikiwa zimeingia mifukoni mwa mafisadi!?
 
Back
Top Bottom