Rais kikwete atembelea wagonjwa muhimbili

Rais kikwete atembelea wagonjwa muhimbili

Rais wa watu wapumbafu wa Tanzania

Nashukuru Na wewe umesema mimi nikisema huwa wanasema nawatukana ila huo ndo ukweli aina ya serikali tuliyonayo ni kielelezo tosha cha ujinga na upumbavu wetu wa Tanzania
 
ni heri angenunua dawa then akawapa kuliko kuzunguka kusema pole wakati mtu anawaza hajala jamn hata jero hajatoa.
 
miguu inavyomwasha atamwachia pinda majina ya baraza la mawaziri yeye anapanda ndege akiwa hewani atachagua nchi ya kwenda na kumtajia rubani aelekee huko..kweli tumepata prezidaa.
 
Jamani sijamuona mamaa faiza Foxy
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom