BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,331
Mkuu huyu ni msanii wa hali ya juu ndio maana hata utendaji dhaifu wa Mawaziri wake haushtukii kabisa. Mara mbili sasa imebidi Wabunge waje juu na kumshinikiza ili afukuze watendaji wabovu ndani ya Baraza lake la Mawaziri na hao waliofukuzwa ni asilimia ndogo sana. Baraza lote la Mawaziri limejaa mizigo mitupu ndio maana kila sekta nchini ni hovyo hovyo.
Najuta kuwa na rais wa nchi ana akili nyembamba hivi....hivi hata huwa anafikiriaga huyu haya mambo au anakurupuka tu