Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali mtoto Andrew Simba(15) aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili wakati Rais alipowatembelea na kuwafariji baadhi ya wagonjwa katika wodi ya Mwaisela leo.
View attachment 129013
Kikwete ni Rais wa WATU...
Huyu mzee anakejeli sana watu..yaani yeye katoka kutibiwa marekani halafu eti kaenda mwaisela...si dhihaka hii
Kwi kwi kwi kwi kwi Chezeya usanii Weye!!!
Rais wa mazezeta. Akibuni kodi ya sim card, mazezeta kimya, kupanda kwa gharama za umeme; mazezeta yako kimya; kuongeza bei ya maji; mazezeta kimya; polisi kupiga raia bila kosa la msingi; mazezeta kimya; mitaala feki ya elimu-division 5; mazezeta kimya; gesi kutoka Mtwara hadi China; mazezeta yako kimya. Hata boga linaweza kutawala Tanganyika.Kikwete ni Rais wa WATU...
Rais wa mazezeta. Akibuni kodi ya sim card, mazezeta kimya, kupanda kwa gharama za umeme; mazezeta yako kimya; kuongeza bei ya maji; mazezeta kimya.
Huyu mzee anakejeli sana watu..yaani yeye katoka kutibiwa marekani halafu eti kaenda mwaisela...si dhihaka hii
Angekuwa anawajali angewabeba kwenda nao Marekani kwenye matibabu ya uhakika. Yeye kakimbia hospitali zetu kwa kujua ni bomu.