Wakristo tunafanya makosa makuu Kwa Sasa wacha niseme tu...
Huu si muda wa kupalilia ubaya au kumnyooshea Mtu kidole, lazima tukubali NCHI iko pabaya Kwa Sasa Kwa sababu kuna baadhi ya watu ugumu wa maisha, matatizo Yao Binafsi ukijumlisha frustrations Za kimaisha wanatamani sana NCHI iingie Kwenye machafuko flani labda wanaweza kupenya Na kuibaiba vitu viwili vitatu then wakasogeza maisha Yao .. Na watu hawa wanatumia ushawishi wa Dini Kama turufu ya kuendesha uharamia wao, mfano mzuri ni makanisa yanayofanyiwa fujo sambamba Na uporaji Wa Mali Kama Tv, generator, vinanda(keyboard) Za kanisani haiingii akilini kwamba muislam ameiba keyboard aipeleke wapi ilihali msikitini hawaitumii, ni Wahuni tu hawa ambao wanatumia faida ya baadhi ya viongozi Wa dini waliopandwa Na Roho ambazo si nzuri Kwa kuendesha mazoezi haya.
Ni kweli ni wazi kwamba sehemu kubwa ya umbo la viongozi wakuu serikalini pamoja Na maeneo ya wizara nyeti zote Rais ameweka WAISLAM.. Kwa namna gani Sijui Moyo wake aliwazanini kufanya hivyo lakini madhara yake ndio udhaifu Na ukigugumizi wa kiutendaji Jambo linapofikia Kwenye sura ya dini tena Yao. Imagine Alhaji Kova anavunja KATIBA ya NCHI aliyoapa kuilinda Kwa kuwaachia watuhumiwa kinyume Na Sheria. Na baada ya kuvunja KATIBA mbele ya mabosi wake wote ambao nao ni WAISLAM bado anaendelea Kuchapa Kazi .. Mimi Kama ni kiongozi Mkristo , Na wakristo wenzangu eti ndo wananishinikiza nivunje KATIBA Kwa kigezo Cha kidini , ndo ntawashughulikia vema kabisaa Na nikifika Na kanisani kusali ntawaapa makavu live kwamba wasilogwe tena kutumia udini Kama chochezi la kuvunja KATIBA Kwa mashinikizo. Sasa Sijui Alhaji Kova anawaza manini..
Anyway Kama nilivyosema wakristo tusifanye makosa this time, wakristo LAZIMA tuombe.. Tujue mambo haya yana Mkono Wa shetani, tisipoomba sisi Wenye AKILI tumtegemee nani atuombee. Lazima tumng'oe pepo walio nyuma ya mchafuko haya kisha WAISLAM wote watakuwa saafi Na naamini wengi WATAOKOKA including mwislam anayesoma Uzi huu.. Na mwislam ataye comment negative Uzi huu yeye ndiye awe Wa kwanza kuokoka.. AMEN..