Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Status
Not open for further replies.
JK, na wenzake walikuwa wanatafakari kuigawa wizara ya Nishati. kutokana na uwezekano wa kupatika Gesi na Mafuta. Ila tu ataongeza manaibu wawe wawili.
 
nimeipenda hiii hahahahaha aliyesababisha waziri atoke nae anatoka teheeee ikulu AC kali sana
 
anasema mawaziri wanawajibika kwa mambo ambayo hawakufanya. nimeshangaa kuona wanao wajibika ni waziri tu, tumelitafakari hili, aliye sababisha waziri awajibike hataachwa. bodi itaondoka. kuna watu wapo kwa ajili ya kupiga fitina. sasa wote watawajibika.
 
Makatibu wakuu nao wanashughulikiwa. Hapa naona kuna jambo jema sasa. Mawaziri wawajibike kisiasa na watendaji wao pia wawajibike
 
Hivi huyu mkuu huwa anaanza je hotuba yake? Mbona Introduction ya hotuba yake ni mbovu kiasi hicho? Kama ameanza hovyo atamaliza hovyo. Hakuna kitu kipya.
 
kuna jpya gani? maana ambulance zilikua nyingi sana leo maeneo yale
 
duu jamaa leo yupo kikazi zaidi. Anasema waziri anawajibishwa hadi aliesababisha waziri avurunde
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom