Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,323
- 6,810
hiki kitu kinahitaji ujasiri kukifikiria, na ukifanikiwa kukifikiria kwa mtazamo huu kweli unapata jibu.Ndipo alipokuja na mbinu mpya lengo likiwa ni kumpunguzia umaarufu Magufuli ili aonekane alifanya zoezi la kamatakamata samaki Jodari kwa kukurupuka na zoezi zima limeiletea hasara nchi..kama kwaida yake Kikwete alitumia vyombo vya habari na "UWT". Lakini kwa bahati mbaya kwake Raisi, Magufuli alifanikiwa kujua mapema hila hizo na akazisambaratisha kwa hoja zenye busara mno, kama vile Serikali inapofanya kazi yake kwa kufuata sheria hakuna hasara, akatoa mfano wa "mwizi wa vitumbua anavyohudumiwa na serikali kwa gharama kubwa kuliko alichoiba"
hiyo ndiyo nchi yetu!!!hiki kitu kinahitaji ujasiri kukifikiria, na ukifanikiwa kukifikiria kwa mtazamo huu kweli unapata jibu.
binafsi nimewahi kufuatilia hili swala kwa kina , nakuziangalia sheria zetu hasa za UVUVI sehemu ya EEZ[EXCLUSIVE ECONOMIC ZONE]
hakika Magufuli alifanya kile ambacho sheria za Kimataifa za uvuvi katika ukanda huo wa kiuchumi ulimruhusu.,
kilichoshangaza ni kule mamlaka za kimahakama , ofisi ya Mwanasheria Mkuu, DPP zilivyokua zinaboronga kwenye swala zima, hadi ilifikia mahala Magufuli alitupiwa Zigo lote binafsi na yeye akaonekana kama msemmaji pekee wa sakata zima, huku mamlaka za kipolisi, jeshi na hata UWT zikiwa Kimya.
niliwahi kumsikia waziri huyu wa Uvuvi akilalamika kuhusu sakata lile lote kuelekezwa kwenye wizara yake.
mara zote Rais amekuwa mkimya , na ninasikia Wizara ya samaki na Mifugo ndo wamelipa gharama zote za utunzaji wa samaki hao kupitia bajeti yao ya kawaida.
nahisi upo ukweli kuna kukwamishana kwa faida za kisiasa.
Mnamponza Magufuli.
Magufuli anabebwa na uhodari wake, staha yake, na haitaji sifa za kijinga kumfanya awe maarufu ama mtu anaechapa kazi.Mnamponza Magufuli.
Magufuri anatisha na anaogopesha na kama itatokea akashika nchi mambo ya longolongo yatapotea
Jamani hii nimeipata kwenye chanzo kimoja cha uhakika mno; kwamba wale samaki wa magufuli walikuwa wanakwama kuuzika kutokana na hujuma za Raisi wa Tanzania JM Kikwete dhidi ya Dk Magufuli.
Chanzo hicho kimesema kwanza alijaribu kufunika na kudakia kazi ile ya kukamata jodari ili ionekane ni yeye aliyefanya lakini ikashindikana kwani watu waliendelea kumpongeza Magufuli tu.
Ndipo alipokuja na mbinu mpya lengo likiwa ni kumpunguzia umaarufu Magufuli ili aonekane alifanya zoezi la kamatakamata samaki Jodari kwa kukurupuka na zoezi zima limeiletea hasara nchi..kama kwaida yake Kikwete alitumia vyombo vya habari na "UWT". Lakini kwa bahati mbaya kwake Raisi, Magufuli alifanikiwa kujua mapema hila hizo na akazisambaratisha kwa hoja zenye busara mno, kama vile Serikali inapofanya kazi yake kwa kufuata sheria hakuna hasara, akatoa mfano wa "mwizi wa vitumbua anavyohudumiwa na serikali kwa gharama kubwa kuliko alichoiba"
Inasemekana hujuma za Kikwete na wanamtandao kwa ujumla dhidi ya Magufuli hazikuanza hivi karibuni, hofu yao kubwa ni kukubalika kwa Magufuli miomngoni mwa watanzania kuona ni hatari kwa mbinu zao(wanamtandao) za kurithishana Uraisi wa TZ.
Huyu Jamaa anatufaa sana, Alisimamia sana MABARABARA, na akawaadabisha makandarasi feki, na wale waliotaka kuuza pale NYAMAGANA, tunamhitaji awe RAIS, nadhani ndo maana CCM wanaogopa mgombea binafsi
Hivi unajua kuwa baada ya samaki kukamatwa, waliohusika katika lile zoezi walipongezwa akiwemo Magufuli, na walipongezwa na Kikwete.Jamani hii nimeipata kwenye chanzo kimoja cha uhakika mno; kwamba wale samaki wa magufuli walikuwa wanakwama kuuzika kutokana na hujuma za Raisi wa Tanzania JM Kikwete dhidi ya Dk Magufuli.
Chanzo hicho kimesema kwanza alijaribu kufunika na kudakia kazi ile ya kukamata jodari ili ionekane ni yeye aliyefanya lakini ikashindikana kwani watu waliendelea kumpongeza Magufuli tu.
.