figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Huu uzi utajaa matusi, ngoja nikimbie zangu mapemaaaaa!
Nimeshindwa kusoma hako kabango ilikua lini hiyo?
Mkuu sasa itabidi amuachie JP Magz nae walau awe na nafasi mbili tatu za kuchagua watu wake,
Humjui vizuri JP Magz...Tulia tuisome namba wote.
Magufuli lazima aongozwe pale.
Mliyataka haya.
Haha haa haa nahisi kikwete anafanya kusudi
cc Nyani Ngabu....
Hakawii kujiteua yeye mwenyewe kuwa mshauri wa Rais mpya...
Magufuli onyesha ubabe wako kwa kutengua teuzi zote za JK alizofanya kipindi cha lala salama uone kama hatutakushangilia
Labda kama hakuteuliwa pia