Rais Kikwete amteua Natu Rashid Msuya, kuwa Mwenyekiti wa bodi ya Wadhamini PTF

Haha haa haa nahisi kikwete anafanya kusudi
cc Nyani Ngabu....

Anatoa darsa la mwisho mwisho kwa Malofa wa kisiasa waliodhani ukivunja bunge ndo umevunja serikal, hata dakika moja kabla ya kuapishwa Magufuli jk bado ana nguvu zote za urais hata kutangaza Vita. Jifunzeni kusoma katiba , sheria na taratibu badala ya vichwa vyenu kukabidhi kwa wale vijana 192 waliokuwa wana post propaganda dhaifu kabisa eti jk anaogopa kuvunja Baraza la mawazir kwa kuwa mawazir watahamia Chadema hahaha! Baraza la mawazir hakivunjwi linavunjika automatically kwa kuapishwa Rais mpya au Rais yule yule akila kiapo cha uongozi kwa awamu ya pili basi linavunjika immediately.
 
Last edited by a moderator:
...hapo bado simu hazijaanza pigwa toka msoga..
katuni ni katuni tu;hata ikiwa na sura ngumu vipi,itabaki katuni tu.!!
 
Na hatutaona ajabu kwa mara ya kwanza tutakuwa na First lady Mstaafu ambaye atakuwa Mbunge wa viti maalum kupitia CCM.
 
Kuna baadhi ya watu alisahau kuwalipa fadhila ndio anajaribu kuwakumbuka.
 
Kuna siku ataniteua kuwa mkuu wa wapenda starehe tarehe 4 nov kabla ya dakika kumia kukabidhi nchi, stay turned.
 
kj ananifurahisha sana, huyu jamaa anafanya makusudi anajua wabongo watasema tu!
 
attachment.php

nimeipenda sana hii style ya Uongozi wa JK. KWA WALE MLIOWAHI KUFANYA KAZI NA WAZUNGU, MZUNGU KAMA ANAENDA LIKIZO AU KKUPELEKWA NCHI NYINGINE, ATAFANYA KAZI MPAKA DAKIKA KADHAA KABLA HAJAENDA KUPANDA NDEGE. Is a good culture. Hata siku nikiondoka hapa ninapofanya kazi yaani weee acha tu. Nitafanya kazi kwa bidii bila kuonyesha tofauti kama ambavyo nimekuwa nafanya. Kwangu mimi NI KAZI TUU!!. BIG UP JK. You are my role model.
 
Back
Top Bottom