Kichwa cha panz
Senior Member
- Dec 22, 2010
- 132
- 30
50cts does not need to talk anything...
Unajua how much he worth? 450million US Dollars; Yaani zaidi ya Bajeti ya Serikali ya Tanzania...
View attachment 37745View attachment 37744View attachment 37744View attachment 37745
Mkuu cheki na hizi kwanza ya 50 cent yaja.........................
Rais wetu Handsome jamani...
Gazeti la nipashe ukurasa wake wa mwisho leo umetoa picha ya rais wa tz akiwa na rapa 50 cent. Nikajiuliza rais akikutana na mtu kama huyo wanakuwa wanazungumzaa nn?uwekezaji katika sekta ya sanaa Tz?au kitu gani?
huwa nasema kikwete alipaswa kuwa afisa utamaduni wilaya..
Jamani angalieni hiyo picha vizuri halafu mnisahihishe.
Ninachokiona ni kwamba hiyo picha imetengenezwa! Sio ya kweli, Angalia pale walipo gusana pamoja na mkono wa kushoto wa JK Kwenye hiyo picha, kunatofauti kubwa.
Zile suti za Kempiski zilishachakaa?
Tanzanians have every reason to worry about priority of their President!
Gazeti la nipashe ukurasa wake wa mwisho leo umetoa picha ya rais wa tz akiwa na rapa 50 cent. Nikajiuliza rais akikutana na mtu kama huyo wanakuwa wanazungumzaa nn?uwekezaji katika sekta ya sanaa Tz?au kitu gani?
$1 = tzs.1650
Rais wetu Handsome jamani...
Ushamba umekujaa. Wewe unafikiri kuwa President ni kuwa formal na kukutana na viongozi tu basi? Ulikuwa wapi usione kwamba hata Mzee Mandela alikuwa akifanya hivyo hivyo na hata Obama?
teh mwenyewe nimeona si anakutana na msanii mwenzake?mimi nimeona sawa tu labda anataka watoe single