Hivi kwa jinsi matatizo yetu yanavyorundikana siku had siku we unadhani Rais anafkiria hata kuyatafutia ufumbuzi??kama Rais anashangaa na hajui kwann watu wake ni maskin we unadhani kunaufumbuzi hapo??So we jua tu kuwa muda mwingi alionao ni wakufanya mambo ya kipuuz puuz na show off kama hizo ambazo hazina tija kwa Taifa. Nadhani kwenye katiba mpya itabidi tuainishe safari muhimu zenye hadhi ya kuhudhuriwa na Rais maana huyu bwana hata birth day ya 50 Cent anaweza akaenda kuadhimisha nae kwa gharama ya kodi zetu.Hii ni picha ya lini?? Yaani anapata mda wa kuuza sura.?
Kama mnaiendesha nchi kwa kuwategemea akina 50 Cent basi wanawake walompigia kura JK wameingia choo cha kiume na wanaume walompigia kura JK wameingia choo cha kike. Kama nyie ndo washauri wa Rais mnamshauri akaombe misaada kwa 50 cent, basi tumeliwa sisi.Haya sema basi unataka 50cent aifanyie nini Tz?
Kama mnaiendesha nchi kwa kuwategemea akina 50 Cent basi wanawake walompigia kura JK wameingia choo cha kiume na wanaume walompigia kura JK wameingia choo cha kike. Kama nyie ndo washauri wa Rais mnamshauri akaombe misaada kwa 50 cent, basi tumeliwa sisi.
huwa nasema kikwete alipaswa kuwa afisa utamaduni wilaya..
Hivi wewe unadhani shida ya Watanzania au priority ya Watanzania kwa sasa ni kuwa na STUDIO????
Naomba unitajie nchi yoyote ya kiafrika inayoendeshwa bila misaada
Kwa tabia ya huyu jamaa na mapozi haya ya kichokozi, nani ataamin kuwa waliishia tu kupiga picha??????????????????????Mwachen ajilie raha mana anauhakika muda c mrefu nchi anaikabidhi kwa wapinzani (CDM) kama mwenzake wa Zambia
Duh!Mambo ya JK bana!Nimeipenda hii picha hata hivyo.Tatizo ni ufisadi ulioigubika serikali yake.Sioni ajabu kwenye hili given the fact that Mwinyi alifunga shughuli za ikulu na Taifa kwasababu ya Michael Jackson na Kanda Bongoman kama mnakumbuka walipotembelea bongo.Yani sababu unazopewa ni kwamba walikuwa na pesa kiasi kwamba ziara zao zilikuwa zinaingiza pato kubwa sana kwa Taifa.Ishi uone mengi.
Nobody should care about us,we should care about ourselves,uwezo huo tunao.Kujilisha tunaweza na ziada pia.Tunashindwa hata na the late Idi Amini Dada?aliyewalisha vyema tu waganda?Nadhani Obama knows them well na hivyo he dont waste his time.I would have done the same thing kama ninajuwa upuuzi wa viongozi wetu na the corruption epidemic lambasted our continent and particularly our country.Eti Obama doesnt care about us.Does our leaders care about us?Kama caring about us ni kuomba omba.Then ulitaka Obama awaombee kwa nani?Hii mentality bana.Hivi mnadhani misaada ni ya bure?In a corporate world there isnt such a thing as a free lunch my friend.50 Cents just inaugrated a campaign to feed 1bn hungry people in this globe...... better than taking a pic with careless Obama, he don't care about us.
Acha uongo,Firty isnt worth that much wewe!$450 MIL ni Jay na Diddy around $500 M.Hizo figure zako sijui umetoa wapi.Zangu ni according to Forbes Magazine.50cts does not need to talk anything...
Unajua how much he worth? 450million US Dollars; Yaani zaidi ya Bajeti ya Serikali ya Tanzania...
adondoshe album za kumdisHaya sema basi unataka 50cent aifanyie nini Tz?