Rais kikwete alipokutana na steven siege

Jamani legacy nyingine, huyu ni Raisi wa Tanzania au mmefanya utundu wa Photo shop?
 
Anamwambia apo "Unajua baada ya kufariki kanumba asaivi mambo taiti. Xaxa kuna movie 2nataka kukushirikisha inaitwa NDUMBARU. Si unaweza kucheza kama mgangaa eeeeh?"
 
Jamani legacy nyingine, huyu ni Raisi wa Tanzania au mmefanya utundu wa Photo shop?

Hapo kitu cha ukweli hakuna utundu uliofanyika kaka,nafikiri akimaliza muda wake 2015 ataenda kula bata hollywood kwanza
 
nakwambia 2talimic bac 2 ha2jajua
attachment.php

Na Boyz 2 men
Boys_ii_Men_with_Kikwete%5B1%5D.jpg

millet-president-jakaya-kikwete.jpg
Mzee wa misele, sasa hivi anamisiwa sana!
 
Back
Top Bottom