Iyo tabia yake ya kuweka mikono yote miwili mfukoni alafu anatembea sijui ndo kafundishwa ukwereni?
Mcheki alivyokaa usoni, ila huyu mshikaji akitoka madarakani tutammiss kwa mengi sana!
nakwambia 2talimic bac 2 ha2jajua
Na Boyz 2 men
Iyo tabia yake ya kuweka mikono yote miwili mfukoni alafu anatembea sijui ndo kafundishwa ukwereni?
uajabu wake nini mkuu??Tuna Rais Wa Ajabu Sana
Mwezenu najiamini nikitembea mkono mfukoni.Ila mi nahisi ni kutafuta balance ugenini si unajua mtu unakua na wasiwasi kidogo. Ila safari zake ni za kukusanya sahihi za watu maarufu tu wala hazina naslahi. Mkuu usimsahau samata pia ni maarufu kama vipi gonga nae still moja album lijaeIyo tabia yake ya kuweka mikono yote miwili mfukoni alafu anatembea sijui ndo kafundishwa ukwereni?