ba...hapa naweza kupigwa ban...ngoja nikae kando kwanza munkari utulie...Imeanza anaongelea mgomo wa walimu na madai ya walimu ni magumu kutekeleza. Ni bajeti ya trillion 6. Ana lalamika tu km mimi na wewe.Na madai ya walimu haiwezekani.
hotuba imeshaanza redio ya tbc fm 92:3 : 27 3 tv yao wamechemsha kama kawaida yao.
:lalala:Walimu wengi hasa wakaguzi wa shule hatujalipwa madai mbalimbali tuliyowasilisha wizarani. Halimashauri kwa upande wake zimejitahidi kulipa madai ya walimu. Wizani hela zimepelekwa wapi? Ukitaka kuthibitisha kwamba hatujalipwa angalia orodha iliyowasilishwa na Chama cha Walimu na orodha ya waliolipwa na orodha ya ambao hawajalipwa utagundua kwamba wakaguzi wengi hawajalipwa na majina yao hayajaorodheshwa kwenye orodha ya ambao waliolipwa au wasiolipwa yalioyopo kwenye tovuti ya wizara.Walim waiamini serikali kuwa itashughulikia madai yao, warudi kazini.