Rais Kikwete akutana na wahariri; asema madai ya walimu hayatekelezeki!

Mnategeme jipya toka kwa JK? Hawezi kuwa na ishu yoyote ambayo haijadiskasiwa kwa kirefu hapa JF.
Kama ataongea mbele ya waandishi wa habari basi aruhusu maswali, na swali la 1 liwe ana kauli gani kufuatia kufungiwa kwa gazeti la Mwana Halisi.


Swali la Pili: kwanini asimfukuze kazi Kova ama Mkuu wake mwema, kwa kushindwa kuwakamata waliomteka Ulimboka wakati watuhumiwa mwa mwanzo wanajulikana?
 
Naona muda unaenda bila taarifa yoyote, naona tbc wamerudi bungeni, iko dhahiri kuwa jk anaenda ku-edit hotuba yake. maana hukumu nikesho so akiongea leo ataingilia uhuru wa mahakama
 
kwa sasa anazungumzia uchimbaji wa gas. Na changamoto zitakazo tukumba kutokana na hilo
 
anazungumza kama vile ni mbunge anayechangia hoja bungeni. Yeye ni kiongozi wa nchi atuambie wamejipanga vipi?
 
watatunga sheria itakayohusiana na gas, sijui itatungwa lini wakati ucchimbaji umeshaanza.
 
sasa anaongelea walimu na madai yao. serikali imekuwa ikishughulikia madai yao sana tu
 
Anazungumzia madai ya walim na kusema kuwa serikali inawajali sana walim.
 
Back
Top Bottom