Rais Kikwete ajiondoa Twitter

Rais Kikwete ajiondoa Twitter

RUCCI

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
1,702
Reaction score
1,716
Account ya Mh. Rais ambayo ilikuwa na followers zaidi ya 159,254, sasa hivi ukijaribu kumtafuta inaonyesha kuwa imefungwa.
Rais Kikwete alikuwa among Africa's Digital Presidents, Kwenye hii link inaonyesha kuwa alikuwa top ten ya African presidents on twitter: Top 10 Most Followed African Presidents on Twitter - Sahan Journal . Bado hatujajua nini imepelekea akajitoa, ukizingatia kuwa sasa kila kiongozi anajaribu kuwa Digital.
 
hakuna kingine zaidi ya watz kuamua kumtiririkia kuwa anatupeleka chaka wana mjengo! Hata kama ni wewe unamaliza mwezi mzima post zote zina ku crash utafanya nini? si unajitoa tu
 
Atakuwa amepewa ushauri mbaya;
Laiti angelijuwa kuwa kupitia hapo angefahamu mengi yanayomzunguka.

Tiba, kuyafahamu anayafahamu, sema anaogopa kuyasikia mara kwa mara yatampunguzia appetite ya matanuzi na wizi!
 
Last edited by a moderator:
Account ya Mh. Rais ambayo ilikuwa na followers zaidi ya 159,254, sasa hivi ukijaribu kumtafuta inaonyesha kuwa imefungwa.
Rais Kikwete alikuwa among Africa's Digital Presidents, Kwenye hii link inaonyesha kuwa alikuwa top ten ya African presidents on twitter: Top 10 Most Followed African Presidents on Twitter - Sahan Journal . Bado hatujajua nini imepelekea akajitoa, ukizingatia kuwa sasa kila kiongozi anajaribu kuwa Digital.

Safi wamemshauri atoke ili WAMFUNIKE vizur wamemtenganisha na wananchi.safi sana
 
Jk kama binadamu mwingine yoyote yule ana haki ya kufanya maamuzi na uchaguzi kuona lipi linamfaa, hakuna sheria inayombana Rais kuwa na account maalum katika mtandao katika kufikisha ujumbe au kuwasiliana na wananchi wake, bado kuna nafasi kwa yeye kupata yale ambayo angeyapata kupitia account hiyo.
 
Back
Top Bottom