Rais Kikwete ajiondoa Twitter

Rais Kikwete ajiondoa Twitter

Nadhani Thuwen Makamba anaweza kueleza sababu ya uamuzi kujiondoa kwa Rais kwenye Twitter, coz yeye ndiye anayeendesha/kusimamia hizi akaunti za Rais kwenye mitandao ya kijamii.
Ova
 
Hebu tupieni na akaunti nyingine kama facebook tumwandame na huko...
 
Yakikushinda unajiondoa, serikali rais ni mali ya umma, je umma wa watanzania umeshindwa kupata majibu ya maswali?
 
Kikwete ni mtu smart sana. Mleta mada hajui kutumie twita ndio mana
 
Kelele za kumwacha kiporo muhongo ndo zimemkimbiza
 
Back
Top Bottom