Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
Inafurahisha tunapokuwa na rais ambae anaongelea mauaji na mgomo wa madaktari baada ya madhara kutokea ,kweli hii ni tanzania pekee inawezekanza,zaidi ya mwezi issue ya madaktari leo kiranja mkuu anataka wananchi waamini kuwa ana uchungu nao
Ameongelea mchakato wa katiba pia .... hilo nalo unasemaje?