Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,538
- 13,001
This Is Africa 😂Hizo ni blahblah kanuni inayotambulika Kenya ni TKK toa kitu kidogo ndiyo taratibu zinafuatwa.
This Is Africa 😂Hizo ni blahblah kanuni inayotambulika Kenya ni TKK toa kitu kidogo ndiyo taratibu zinafuatwa.
Hakuna ajira mkuu, msiende huko. Mtaibiwa tu, hakuna jingine.Hivi kenya kuna ajira gani kwa watanzania,hili chaka la working permit tusijaribu kuliingia kwenye biashara hapo sawa,kwenye ajira watuache kwanza kidogo
Wewe ndiye unayetakiwa ufikiri nje ya box.Ni nani huyo atakayeenda nchi ya ugeni kuwekeza bila kufanya uchunguzi wa kina.labla kama anaenda kuuza utupu.japo ata na wenyewe lazima ajiridhishe mambo mengi.Na pia lazima ujue kua hayo mapungufu yote ni vitu vinavyorekebishika ni kiasi cha mamlaka husika kuweka mambo sawa.inawezekana uko nyuma hayakufanyika kwasababu mamlaka haikua tayari ila kama mamlaka ya sasa inataka kuweka mambo sawa sidhani kama hayo mapungufu hayatajadiliwa kwa kina.labda sijaelewa unasikitika nn, lakn embu take moment mtu na hela zake mtanzania wa namanyele, ana details gani za aina ya biashra ya kufanya nchini kenya? hajui mtu kenya, na wala asitegemee support ya ubalozi wetu kule...
wao makejipanga. wao tayr wana information za kutosha kwa kila raia wao anayetaka kwnda kuwekeza au kufanya biashr tanzania. possibly atapewa mkopo wenye riba ndogo, atasemehewa kodi kwa upande wa kenya kwa kila bidhaa atakoyo itoa kenya kupeleka tanzania, kwa miaka fulani..
pengine, kwa mkenya atakaye kuja kuwekeza huku, moja ya mashrt ya kupata mkopo kwao, lazma aajir wakenya kiasi kadhaa katika top management, na mshahar usiwe less tha amount fulani..
sisi tumejipanga kwa hili ili tuseme ok njooni?
wao wana hakika hakuna mtanzania atakaye weza kushindana nao katika ardhi yao kibiashar labda mtanznia mwenye asili ya asia.
embu tufikirie nje ya box, balaz zetu zimetupa information gani za opportunities zilizopo kenya kwa watanzania, na how easy kuzi access hizo infor kwa raia wa kawaida.
Wee jamaa! 🤣 🤣 🤣Tupeleke Coaster zetu na Noah kibao tukazipaki nje ya kila airport, vituo vyao vya treni, mabasi na kila hotel. Watalii wakifikia tu pale tunawasomba na kuwavusha kuja kutembelea vivutio vyetu na kulala kwenye hoteli zetu....nadhani kuunda umoja wa wafanyabiashara wa usafirishaji wa watalii kutoka kenya kuja huku tena kwa bei ndogo zaidi ya huduma hiyo hiyo kwa upande wa Kenya inawezekena.
Tupeleke magari yetu wazi yenye vikundi vya ngoma wanenguaji wakicheza singeli na wanasarakasi kuzunguka mitaa ya nairobi yakiimba nyimbo za kutangaza vivutio vyetu, full mapicha kila mahali. Open spaces zao tupeleke vikundi vya ngoma na wanasarakasi kujitangaza kila jumamosi kuwa kila kilicho bora Africa Mashariki kipo Tz. Ikiwezekana kina Diamond na Harmonize wawe wanapelekwa kufanya show bure na wizara husika na wasindikizwe na wauza asali wa tz, wauza jam wa tz, wapaka ina...yaani mpaka watuelewe...
Usiku night club zao tujiwakilishe na vikundi vya matarumbeta na baikoko wajionee mambo ya kitamaduni ya huku watamani kuja uswazi wajionee wenyewe...
Nimewapa wadau wazo la kibiashara ila jaribu kuangalia kama watathubutu. Sisi waTz tulio wengi hatuna uthubutu tumejijaza woga kuliko ujasiri. 🤣🤣Wee jamaa! 🤣 🤣 🤣
Huo mlima Kilimanjaro haujabrandiwa kuwa wa Tz, hata kwenye issue za guide books wanaonesha kabisa mlima uko Tz ila ukiwa Amboseli Game Park unaweza pata view yake pia. Ukiwa msafiri nafkiri utaelewa nacho zungumzia hapa!
Na hapo kumbuka faida kwenyu pia, watalii wakitaka kuuona full, si tunawaleta Tz au wao wenyewe wanaweza kuja next trip huko?
Si ni kazi pia, ama? 😂 😂 😂hapana watakuja uza hadi nyanya hawa wakenya wabaki tu kwao
Usiseme 'WATAWEZA?'... Sema 'NITAWEZA?'. Kapambane na maisha, hakuna kizuri kitakufwata bila kuchukua some risks. Na ukianguka mara tisa, simama mara ya kumi!Kwa jinsi wakenya walivyo wabaguzi,waTz wataweza kupenya kweli huko Kenya?Au Kenyatta analijua hilo ndio maana amecheza karata yake,ili na Mama Samiah aingie kichwakichwa kuruhusu wakenya huku?!!!
😂 😂 😂.... Dada hiyo mimba aliyokuachia jiwe inayokufanya usimsahau kiasi kwamba kila kitu lazima umtaje, usijali mimi ntailea,
nitajitahidi kufanya utafiti juu ya thika highway mkuu. thanksmkuu ungeona jinsi wanavyokabili matatizo yao kitaalamu usingesema kitu hapa ,
kenyans ni smart kuliko sisi no doubt.
leo sisi tumejenga barabara kituko ubungo kibaha , zebra kibao kwenye super highway, matokeo yake ni ajali za waenda kwa miguu na boda boda kila siku , na matokeo yake foleni sasa imeahamia kibaha to mlandizi, angalia thika highway uone kama kuna makosa kama hayo,
sijui nani katushauri kuweka barabara za zege vituoni, kongowe kwa mfano, angekuwa mkenya pale angeweka under pass kwa gharama hizo hizo zetu na akatatua tatizo for good.
Mfano uliotoa ni Zero huna upeo wqa uelewa kabisa ni zeroWaken ni wabaguzi na wanawadharau watanzania.
Hii ya working permit itakuwa ni sawa kama India ingekuwa jirani zetu. Halafu waziri mkuu wa India akasema Watanzania mnaruhusiwa kuja kufanya biashara na kazi India bila vibali.
Hawa ndugu zenyu wanauza mitumba pia?mifumo yetu ya kodi ilio kandamizi na isiyo rafiki kwa wafanya biashar, hasa kwa miaka 5 nyuma, kwa mwendo wa mama itarekebiaka..
kufanya biashra ama kuwekeza kenya kama mtanzania hilo sahau, labda kuuza mitumba au kuimpot bidhaa zao za viwanda kuja kuzitupia huku
Mwambie huyo. Kule nilipozaliwa, hadi wa leo wabongo wako tu sana, wamezalia huku na wabongo wenzao, watoto wamekuwa wakubwa huku nikiwaona na sioni shida yoyote wanayopitia. Sana sana wa hapo mtaani ni fundi cherahani wabobezi sana, wanashonea wamama na dada nguo nzuri sana.Sisi kule tunampaka washona viraka vibarazani kawaida tu wakiuza nyanya sisi tutauza vitunguu
Hapo kwa omba omba, uongo mtupu. Fanya research, utajicheka ukigundua ukweli.Mama angalie mtego huu ili kulinda raia wake maana Kenya hawana cha kupoteza kwenye fursa ya kila kitu hadi omba omba barabarani.
Who's not 'money hungry' in this world. Even Bill Gates & Elon Musk, still work, despite of them being super wealthier!Nakubaliana na wewe kabisa
ila tumelala sana inabidi tuamshwe kutoka usingizi mzito, kenyans are very skilled , na kweli wana roho mbaya linapokuja swala la kazi ,kumbuka wenzetu ni mabepari by default. na ni money hungry always ,
inabidi tupate external force tuamke, ilannahisi mazingira ya kodi hapa kwetu lazima watoke mbio.