Rais Kenyatta aruhusu Watanzania kuanza kufanya kazi na biashara Kenya bila kuwa na Work Permit wala Business visa

Wamakonde nao Kenya waomba watambuliwe kama raia wa Kenya


Kwahiyo hiyo Ngoma ndio SindimbašŸ˜ Huu Mwambao wa Afrika ya Mashariki umeingiliana sana kama sikosei Wamakonde walisambaa wakati wa Dola ya Kilwa ilipokuwa na nguvu hadi hadi ikaitishia Mogadishu huu muingiliano ni wa enzi na enzi na tuuenzi kuliko kubaguana.
 
Hawa jamaa ni wanafiki, wabinafsi, wakabila na wana roho mbaya. Anacho sema Rais Uhuru jukwaani ni siasa tu utekelezaji ni zero,
 
Hamna ubaya ila wakenya wakijazana tigo, voda na airtel wakaja TPB, NMB na CRDB wadogo zenu wote watakuwa wauza kashata na kutembeza kahawa! Msije kuanza kulia lia tu wakenya wamezidi
Kwa kifupi ni kwamba tunakubali wakenya wako juu??

Hili li CCM keimamae sana wallah... ndo limetufikisha huku yani...

Hata wasiotahiriwa wamekuwa wajanja kutuzidi.... mamamamamamameee
 
Bora Uhuru ni binadamu sana na kiongozi bora kabisa kuwahi kutokea Africa, shida walishindwa na Dikteta, mama kaona atakuwa Mwalimu mzuri sana
Ngoja mtakavyoingia mkenge kwa Kenya, hilo ni bomu Kenyatta kategesha. Ni Watanzania wangapi wanaweza kufanya kazi Kenya?
 
Back
Top Bottom