Salahan JF-Expert Member Sep 10, 2014 2,942 3,606 Dec 21, 2016 #1 Kwenye mitandao ya kijamii nchini Kenya imekua gumzo kubwa wakiulizana, 'Rais Kenyata alikuwa amebeba nini' ? Wewe unahisi amebeba nini hapo?
Kwenye mitandao ya kijamii nchini Kenya imekua gumzo kubwa wakiulizana, 'Rais Kenyata alikuwa amebeba nini' ? Wewe unahisi amebeba nini hapo?
Naisujaki Lekangai JF-Expert Member Aug 19, 2012 1,340 1,377 Dec 21, 2016 #2 Satelite phone hiyo kaka!
H henry koboko Member Sep 26, 2016 98 55 Dec 21, 2016 #3 Alikuwa amebeba mzinga wa konyagi si unajuwa zake !
Ushimen JF-Expert Member Oct 24, 2012 37,203 85,311 Dec 21, 2016 #9 Wabongo wape picha tu, maneno watayaweka wenyewe....
J jfamily JF-Expert Member Aug 23, 2016 241 224 Dec 21, 2016 #10 salaniatz said: Kwenye mitandao ya kijamii nchini Kenya imekua gumzo kubwa wakiulizana, 'Rais Kenyata alikuwa amebeba nini' ? Wewe unahisi amebeba nini hapo? Click to expand... Mm nadhani ni mzinga wa konyagi tu au k vant
salaniatz said: Kwenye mitandao ya kijamii nchini Kenya imekua gumzo kubwa wakiulizana, 'Rais Kenyata alikuwa amebeba nini' ? Wewe unahisi amebeba nini hapo? Click to expand... Mm nadhani ni mzinga wa konyagi tu au k vant
longi mapexa JF-Expert Member Jul 18, 2015 3,197 3,994 Dec 21, 2016 #12 itakuwa ni dild0123.....joking mazee
Nokia83 JF-Expert Member Jan 16, 2014 24,646 44,228 Dec 21, 2016 #14 Naki 12 said: kitu kidogo kizito Click to expand... Hahahahaha