Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,113
Chaja.
Satelite phone hiyo kaka!
Lusekelo
Alibeba gomba![]()
Kwenye mitandao ya kijamii nchini Kenya imekua gumzo kubwa wakiulizana, 'Rais Kenyata alikuwa amebeba nini' ?
Wewe unahisi amebeba nini hapo?
Alishazoea administration through skype alipokuwa anahangaikia kesi yake the hague.Kwani Raisi huwa anashikaga simu akiwa katika ziara kama hivyo.?