Rais kapotoshwa na wasaidizi wake utenguzi wa Kairuki?

NASEMA DADA WALA HAJAONEWA.MSIPENDE KUTAKA KILA KITU KIWE WAZI ILI KUTAKA KUMDHALILISHA.TUNAJUA KILICHOKUWA KIKIENDELEA JUU YA WAWEKEZAJI FULANI.MFANO KWANINI KAMPUNI YE ECO ENERGY ILIPOPEWA SHAMBA KULIMA SUKARI BAGAMOYO IMEPITA MIAKA 10 HAKUNA KINACHOFANYIKA NA TIC IKIWEPO??

KUWENI MAKANI KWANI RAIS AKIANIKA KILA KITU WATU WATADHALILIKA.KUMBUKA WENGINE WANAWATOTO NA FAMILIA ZINAZOHESHIMIKA NCHINI
Sasa kwa nini wafichiwe siri bana watu mafisi tu hao,wadhalilishwe tu magu asiache hiyo style ni waizi tu hao, hawana faida yoyote kwenye jamii na kama waliheshimika kwa pesa za uwizi ndio muda umefika watu wajue sasa
 
Hizi tuhuma hazijaanza leo kuhusu huyu Mama..
 

Attachments

  • 1461855846609.jpg
    1461855846609.jpg
    138.6 KB · Views: 29
Habari wanaJF,

Kufuatia kuteguliwa kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha uwekezaji nchini (TIC), Bi. Juliet Kairuki taarifa za ndani zinasema bibie huyu kaonewa kwa sababu zilizoainishwa katika nukuzi ya taarifa hapa chini.

"Huyu Julieth ni mke wa Dr.Kairuki Mkurugenzi wa Mikocheni Hospital. Kabla ya kuja Tanzania alikua anafanya kazi South Afrika akilipwa mshahara wa USD 15,000. JK ndiye aliyemkuta SA akamuomba arudi nchini kuja kusaidia pale TIC baada ya Ole Naiko kustaafu. Kabla hajaja wakaset T&C kuwa her salary wont go bellow 18M Tzs.

Ikumbukwe SA alikua akilipwa 15K USD equals to 35M Tzs. Kwahiyo kukubali kulipwa 18M ni kukubali kusucrifice 17M kitu ambacho si rahisi kwa watu wengi. Lakini she did that for the sake of her country. But alipofika nchini TIC wakamwambia hawana scale ya 18M, wakataka kumlipa 5M. Huyu mama akakataa. She cant be that cheap kutoka mshahara wa 35M kule SA hadi 5M? Akamwomba JK arudi SA kuendelea na kazi yake, lakini JK akaagiza TIC wafanye salary review ili kuweza kuaccomodate madai yake. Kipindi chote hicho alikua hapokei mshahara b'se alikua hajafikia concesus na serikali. Sasa kabla TIC hawajakamilisha salary review ndio JPM akawa ametake power. Akawa anadiscourage mishahara mikubwa kwa wakuu wa mashirika ya umma.

TIC wakaogopa kuendelea na review ya Kairuki. Katika ufuatiliaji JPM akaambiwa kuna Mkurugenzi hajapokea mshahara tangu 2013. Lakini informers wake they didnt nail the whole story. Wao wakamwambia tu amekataa mshahara aliopangiwa anataka mkubwa zaidi na marupurupu makubwa. JPM akahamaki na kutengua uteuzi without knowing the truth. Hapa JPM kafanya kosa lakini simlaumu yeye, nalaumu informers wake. Basing on the facts provided huyu mama kaonewa sana and worse enough JPM hakumuita kumsikiliza. He just made decision basing from his informers.

This is typical injustice b'se principles of natural justice were abandoned. Ni bora JK angemruhusu arudi SA kuendelea na kazi yake"

Karibuni wadau.



Hata wewe umehadithiwa lakini hujui undani wa hii habari

Huko bongo mbona kuna wajinga wengi??

Yaani ishu ya umbea umbea tuuu
 
Hizo zote ni taasisi za selikali huduma kwa jamii wanatakiwa walipwe mil 5 tu kwa mwezi,kama ni wanataaluma waende private sector huko wakalipwe hayo mabilion,mbona mnang'ang'ania selikalini mlipwe hizo pesa hamuoni nchi ilivyo choka selikali haina pesa vp nyie watu
Aliepanga hiyo mishahara ya 30's Million kwenye mashirika ya umma alipanga nani?
Kama shirika limeweka kiwango hicho na wamekubaliana na mwajiriwa lazima alipwe kwa mujubu wa sheria.
 
Ni Sawa Mkuu Lakn JPM Anataka Apunguze Hii Tofauti Maana Huku Ni Kudhurumiana Na Kunyonyana Tu
Twende Sawa Mkuu Tuheshimiane.
Unajua tatizo ni kwamba serikali ilipitisha hiyo mishahara yenyewe sio waajiriwa MD wa NHC kaukuta mshahara, sasa tumlaumu nani, waweke viwango anaekubaliana afanye asieweza asifanye, ila ukikubaliana salary kwenye contact na mtu lazima umlipe.
 
Tangu mapema watu wa hekima walisema Magu anatakiwa awe chini ya mtu.Ona anavyo fanya
Tukisema huyu JPJM ni mkurupukaji tunaambiwa ni mtakatifu na hakosolewi. Wacha aendelee hivo hivo maana iko siku ukweli utakuwa wazi zaidi na itakuwa vema akitumia chombo kile kile kukiri kuwa amekosea; yaani yeye pia ni mdhambi anayehitaji neema.

Tumvumilie tu huyu mkuu maaana hata hivyo anafanya mengi mema hata kama ni kwa style mbaya.
 
habari hii ni ya upande mmoja.

kwa kuwa upande wa pili haupo kujitetea inabidi twende kwa kuhoji taarifa zako mwenyewe.

kwanza unasema JK alimkuta SA, hapa sijaelewa yaani walikuwa by coincidence au alikwenda huko kutafuta mkurugenzi wa TIC.

mantiki yangu hapa ni tatizo la ajira za connections ambazo hazina tija kwa taifa hili, kama walikutana huko by coincidence na pengine god fathers wakamuunganisha na mkuu unadhani anastahili kuendelea kukalia nafasi hiyo?

umetueleza alikuwa SA analipwa 15K USD, alikuwa anafanya kazi gani? maana huwezi kunishawishi kuwa nesi aliyekuwa akilipwa 15K USD SA then tumlete hapa kwetu kuwa Mkurugenzi wa TIC. mantiki yangu usituambie tu alikuwa ana fanya kazi SA na kulipwa kiasi fulani bali utuonyeshe uzoefu na uwezo wake kushika nafasi hiyo pia kupitia hoja yako hiyo.

ilikuwaje anakuja na kuanza kazi bila mkataba? maana umesema alitoka SA akaja ameahidiwa na Mkuu 18M lakini TIC wakamwambia tunakulipa 5M. hivi wewe unadhani ni sahihi kiongozi wa nchi kuwachagua watu na kuwapa madaraka na mamlaka ya kuendesha taasisi ambazo si zake binafsi bali ni mali ya wananchi and then yeye bila kuzingatia scale za mishahara za taasisi au kuangalia financial positions ya shirika anaagiza huyu alipwe hivi na yule alipwe hivi. hivi wewe unaona ni sahihi?

in short kwa mchakato uliousema, ninaona hastahili kuendelea kuwepo.

tatizo usilolijua kuwa yawezekana mkuu wa sasa ana taarifa kushinda ulizo na zo na anapofanya maamuzi anazingatia taratibu lakini kuna mambo ambayo unatafuta uyaweke taratibu ipi yanabaki yanaelea tu hewani.

cha msingi kwetu sisi wananchi ni tunataka taasisi zenye tija. taasisi kuwa na tija ni pamoja na kuwa na watendaji wenye sifa waliopatikana katika hali ya ushindani na mtu anakaa akijua siko hapa kwa sababu ya fulani bali nipo kutimiza wajibu fulani na nisipotimiza hakuna wa kunikingia kifua. kwa dhana hiyo kila mmoja atahangaika kuhakikisha nakuwa mbunifu.

labda utueleze sifa za huyu na ameleta mabadiliko gani ndani ya TIC ambayo unaona hiyo salary unayoisema ni kidogo kulinganisha na madai anayodai hapo tunaweza kukusikiliza lakini haya ya walikutana na mtu sehemu fulani akamuomba aje na yeye akawa anataka kulipwa zaidi, hatuoni faida yoyote kwa taifa.

Asante
 
..mimi kwa kutengua hii ajira namuunga mkono JPM kwa maana moja tu kubwa...kwamba ameondoa sehemu ya nepotism katika ajira mojawapo hapa Tz....maana utawala wa JK ulitamalaki nepotism....haiwezekani kila kina ya nchi hii watu wanapeana ajira tu kisa wanajuana...

...huyu mamy mnasema hiyo ajira kapewa...je alifanyiwa vetting?...je huo mshahara wa dola 15,000/ huko south nani aliona hiyo salary slip?..au ni maneno ya kuambiana tu?....yani muda wote tangu 2013 mtu anafanyiwa salary review??wapi inafanyika hivyo duniani???..acheni bana...

...natambua yule waziri wa utumishi Angela Kariuki kaolewa na mtoto wa Kariuki...huyu dada nae mnasema kaolewa na mtoto wa Kariuki??..hivi unapata picha gani hapa??....mwacheni JPM atumbue majipu bana....
Kweli kabisa hii hapa ilikuwa ndiyo position yake ya mwisho pale South Africa- Meneja Mkuu wa Idara ya Benki na Huduma za Fedha katika taasisi hiyo.
 
NASEMA DADA WALA HAJAONEWA.MSIPENDE KUTAKA KILA KITU KIWE WAZI ILI KUTAKA KUMDHALILISHA.TUNAJUA KILICHOKUWA KIKIENDELEA JUU YA WAWEKEZAJI FULANI.MFANO KWANINI KAMPUNI YE ECO ENERGY ILIPOPEWA SHAMBA KULIMA SUKARI BAGAMOYO IMEPITA MIAKA 10 HAKUNA KINACHOFANYIKA NA TIC IKIWEPO??

KUWENI MAKANI KWANI RAIS AKIANIKA KILA KITU WATU WATADHALILIKA.KUMBUKA WENGINE WANAWATOTO NA FAMILIA ZINAZOHESHIMIKA NCHINI
Miaka 10 huyu dada hakuwa TIC!
 
NASEMA DADA WALA HAJAONEWA.MSIPENDE KUTAKA KILA KITU KIWE WAZI ILI KUTAKA KUMDHALILISHA.TUNAJUA KILICHOKUWA KIKIENDELEA JUU YA WAWEKEZAJI FULANI.MFANO KWANINI KAMPUNI YE ECO ENERGY ILIPOPEWA SHAMBA KULIMA SUKARI BAGAMOYO IMEPITA MIAKA 10 HAKUNA KINACHOFANYIKA NA TIC IKIWEPO??

KUWENI MAKANI KWANI RAIS AKIANIKA KILA KITU WATU WATADHALILIKA.KUMBUKA WENGINE WANAWATOTO NA FAMILIA ZINAZOHESHIMIKA NCHINI

Juliet Kairuki alikuwepo miaka 10 iliyopita hapo TIC? Mkuu uandike tu kwa herufi ndogo utasomeka tu,hizi herufi kubwa ni kama unapiga makelele vile.
 
Tangu mapema watu wa hekima walisema Magu anatakiwa awe chini ya mtu.Ona anavyo fanya
Acha kupayuka. Tumia akili. Acha kuwa kilaza. We huoni kasoro hapo katika suala la huyo mama?? JK aliendesha nchi kishkaji. Haiwezekani 3 yrs kwa mtu wa position kama yake salary review iwe pending, pili inaonyesha aliombwa na Rais hii inajustify nafasi yake ya ukaribu na mkuu wa dola kuweza ku-speed up hizo salary adjustments.
 
Unajua tatizo ni kwamba serikali ilipitisha hiyo mishahara yenyewe sio waajiriwa MD wa NHC kaukuta mshahara, sasa tumlaumu nani, waweke viwango anaekubaliana afanye asieweza asifanye, ila ukikubaliana salary kwenye contact na mtu lazima umlipe.
una uhakika waliukuta huo mshahara...
 
Hili jipu limegawanya watu, JPM na Kurugenzi ya habari wanawajibika kulitolea hili ufafanuzi...

Haiingii akilini eti nilazimishwe kutumia mshahara na kila mtu ana mamlaka juu ya matumizi ya mshahara wake...

Kuna watu wanahoji inakuwaje aishi miaka 3 bila mshahara, walichotakiwa kufanya watu hawa ni kuonesha Kosa alilolifanya huyu mama na si eti tumpangie atumie mshahara wake
 
shida ya discussion hapa wote ni third or fourth party kwa hiyo hakuna anayejua rais kapewa taarifa gani kwa usahihi lakini pia Bi Janeth nae hajasema jitihada alizokuwa anafanya ni zipi na zilifikia wapi. Hivyo tusubiri tupate walau story ya upande mmoja FROM THE HORSE MOUTH ndio tuanze kujadili vinginevyo tutajadili mihemko tu badala ya facts.
Ivi mkuu kila anayetumbuliwa waanze kulizana maswali na rais aanze kujibishana nao tutafika?? Rais ana mambo mengi yakufanya kwa watanzania,ila kumbuka nchi ilipofikia ni pabaya sana,mtu achukui mshahara kwa miaka mitatu,je alikuwa anaishi vipi? Japo kuwa muungwana unahisi rais kamuonea?? Taarifa ya kusimamishwa kutopokea mshahara kwa kipindi cha miaka mitatu na mengineyo,je unajua hayo mengineyo? Na hapo JPM ajataka kumvua na hayo mengineyo ila kwa stahili hii ya kulalamika anavyofanya rais tutayasikia tu
 
Back
Top Bottom