Mauza uza
JF-Expert Member
- Jul 24, 2008
- 2,097
- 1,363
Swali jepesi.
Huyu mama aliyetumbuliwa wana undugu na Mh Waziri wa Utumishi/Utawala Bora?
Au huyu ni mtu na wifi yake? Mbona majina yanafanana, wanashare kama mtu na dada au majina tu? Mwenye uelewa atujuze. Au ni majina tu kama ambavyo jina Juma, Ally, yanakua na watu wengi?!
Wameolewa kumoja mkuu.. Na wote ni wali nyama na mandondo kidogo.. Teeheteeh