Rais kama utampa Tundu Lissu anachotaka bila shaka utakuwa ni kivuli tu wapo watu nyuma yako

abdulhamis

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
1,436
2,292
Katika mambo yanakera moja wapo ni ili la Tundu Lissu kutaka kuhakikishiwa ulinzi ilihali ni mtu mwenye makosa mengi

Tundu Lissu analia mitandaon kuwa ameshutumiwa kwa mambo mengi hivyo anaiomba Serikali ya Rais Samia Imuangalie kwa jicho la pili na kuomba kuhakikishiwa uhuru wake, yaani lugha nyepesi ni kwamba aambiwe akirudi Tz hatokamatwa wala kushtakiwa

Yeye ni Mwanasheria kama kweli anazijua ni shutma tu zimetolewa juu yake kwanini asiende Mahakamani kuzikanusha shutma hizo.

Leo nimeona ajabu eti Zitto, Nape na Tundu Lissu wapo kwenye kikao wanajadili mstakabali wa Taifa letu

Nachosubiri ni kuona msimamo wa Rais juu ya Tundu Lissu endapo akamuacha na kuingilia Mahakama ili kumkingia kifua Tundu Lissu basi atambue kuwa kashiriki kusema kuwa Hayati Magufuli ndiye aliempiga Risasi Tundu Lissu

Sisi watanzania wenye kujielewa tunataka Tundu Lissu aje atuthibitishie tuhuma zake kuwa Rais Hayati Magufuli ndiye aliempiga risasi kama alivyosema yeye
 
Katika mambo yanakera moja wapo ni ili LA tundulisu kutaka kuakikishiwa ulinzi ilihal ni mtu mwenye makosa mengi

Tundulisu Analia Mitandaon kua Ameshutumiwa kwa mambo mengi ivyo anaiomba serikal ya Mh Rais Samia Imuangalie kwa jicho la pili na kuomba kuakikishiwa uhuru wake Yan ruga nyepesi ni kwamba Aambiwe Akirudi tz hato kamatwa wala kushtakiwa

Yeye ni Mwanasheria kama kweli Anazijua ni shutma tu zimetolewa juu yake kwanini Asiende Mahakaman kuzikanusha shutma izo
Pia Tundulisu anazikataa shutma anazo pewa kwa maelezo yake Anasema si kwel Tumuulize Yeye je vip Shutma Anazo mpa Hayat?

Leo nimeona Ajabu eti zitto Nape Na Tundulisu wapo kwenye kikao wanajadil mstakabali wa Taifa letu

Nachosubir ni kuona Msimamo wa Mama juu ya huyu Muhain Tundulisu endapo akamuacha na kuingilia mahakama ili kumkingia kifua Tundulisu basi Atabue kua kashiriki kusema Kua Magufuli ndie alie mpiga Risas Tundulisu

Sisi watanzania wenye kujielewa tunataka Tundulisu aje atuthibitishie Tuhuma zake kua Rais Hayat Magufuli ndie alie mpiga Risas kama Alivyo Sema yeyeunadhani

Katika mambo yanakera moja wapo ni ili LA tundulisu kutaka kuakikishiwa ulinzi ilihal ni mtu mwenye makosa mengi

Tundulisu Analia Mitandaon kua Ameshutumiwa kwa mambo mengi ivyo anaiomba serikal ya Mh Rais Samia Imuangalie kwa jicho la pili na kuomba kuakikishiwa uhuru wake Yan ruga nyepesi ni kwamba Aambiwe Akirudi tz hato kamatwa wala kushtakiwa

Yeye ni Mwanasheria kama kweli Anazijua ni shutma tu zimetolewa juu yake kwanini Asiende Mahakaman kuzikanusha shutma izo
Pia Tundulisu anazikataa shutma anazo pewa kwa maelezo yake Anasema si kwel Tumuulize Yeye je vip Shutma Anazo mpa Hayat?

Leo nimeona Ajabu eti zitto Nape Na Tundulisu wapo kwenye kikao wanajadil mstakabali wa Taifa letu

Nachosubir ni kuona Msimamo wa Mama juu ya huyu Muhain Tundulisu endapo akamuacha na kuingilia mahakama ili kumkingia kifua Tundulisu basi Atabue kua kashiriki kusema Kua Magufuli ndie alie mpiga Risas Tundulisu

Sisi watanzania wenye kujielewa tunataka Tundulisu aje atuthibitishie Tuhuma zake kua Rais Hayat Magufuli ndie alie mpiga Risas kama Alivyo Sema yeye
Rais Samia Suluhu Hassan ana akili na uwezo wa kufanya maamuzi ubayoyafikiria bila kuwa nyuma ya mgongo wa mtu. Kwani yule mtu mwovu, mithili ya shetani aliyaamuru Tundu Lissu apigwe risasi kama nyati alikuwa na watu chini yake? Hapana. Alitoa maagizo bayo kwa utashi wake mwenyewe.
 
Hapo hapo kwenye mitandao anawazushia watu vifo...tumeweka ushahidi wa video ili akirudi atuonyenye kaburi la mlinzi wa hayati JPM! Jinga sana huyu!

Nyumbu wamesahau kuwa Mh.Rais SSH wakati wa kampeni za uchaguzi wa 2020 aliwahi kusema haiwezekani askari/mwanausalama wa JMT aliyefuzu mafunzo yake na kupewa silaha ashindwe kumuua mtu kwa risasi hata 3 tu!(kama wangekuwa na nia ya kumuua TL)
Tuache kumumunya maneno, waliotaka kumuua TL ni wale wale waliomuua MArehemu Chacha Wangwe, ni walewale waliotaka kumuwekea Zitto Kabwe sumu kwenye chakula, ni vita ya kulinda cheo cha Mweneyekiti wa chama!
 
But who is Tundu Lissu?
 
Nani?
 
..mshaurini Rais Samia aunde tume huru itakayochunguza waliopanga shambulizi la mauaji dhidi ya Tundu Lissu.
Rais SSH keshasema bila kupepesa kuwa "hakuna askari wa jeshi lolote la Tanzania atakayempiga mtu target risasi 20 asimuue". Anafahamu usanii wote wa Lissu na CHADEMA. Kwani Arusha hawakulipua bomu wakati wa Kikwete ili ionekane serikali ndio walihisuka? SSH anafamu yote CDM hamna pa kutokea
 
..wahusika wakamatwe na kufikishwa mahakamani.

..haijalishi kama ni Cdm au hawana chama.

..HAKI itendeke.
 
Tanzania haina deni na Lissu, alikataa kutumia mfumo wa hospitali za serikali na kupelekwa mgambo kama ingehitajika, basi ajuwe kuwa Tanzania haiwezi kulipa gharama zake za matibabu.

Kesi zake ni zake za yeye kujibu sio rais au serikali kufuta bila kuwa na sababu za msingi, cha muhimu, Tanzania inaweza kujiendesha bila Lissu kuwepo.
 
..mbona Jiwe alipelekwa hukohuko Nairobi Hospital alikotibiwa Tundu Lissu?

..mnaona mnavyoadhibiwa kwa roho zenu mbaya?

..Mama Samia aunde tume ichunguze nani alipanga kumuua Lissu.

..Mama asikubali kubeba mzigo wa dhambi na laana za watu wengine.
 
Hapo hapo kwenye mitandao anawazushia watu vifo...tumeweka ushahidi wa video ili akirudi atuonyenye kaburi la mlinzi wa hayati JPM! Jinga sana huyu!

Nyumbu wamesahau kuwa Mh.Rais SSH wakati wa kampeni za uchaguzi wa 2020 aliwahi kusema haiwezekani askari/mwanausalama wa JMT aliyefuzu mafunzo yake na kupewa silaha ashindwe kumuua mtu kwa risasi hata 3 tu!(kama wangekuwa na nia ya kumuua TL)
Tuache kumumunya maneno, waliotaka kumuua TL ni wale wale waliomuua MArehemu Chacha Wangwe, ni walewale waliotaka kumuwekea Zitto Kabwe sumu kwenye chakula, ni vita ya kulinda cheo cha Mweneyekiti wa chama!
Pia ni walewale waliompa Sumu Mangula si Ndio?
 
Katika mambo yanakera moja wapo ni ili LA tundulisu kutaka kuakikishiwa ulinzi ilihal ni mtu mwenye makosa mengi

Tundulisu Analia Mitandaon kua Ameshutumiwa kwa mambo mengi ivyo anaiomba serikal ya Mh Rais Samia Imuangalie kwa jicho la pili na kuomba kuakikishiwa uhuru wake Yan ruga nyepesi ni kwamba Aambiwe Akirudi tz hato kamatwa wala kushtakiwa

Yeye ni Mwanasheria kama kweli Anazijua ni shutma tu zimetolewa juu yake kwanini Asiende Mahakaman kuzikanusha shutma izo
Pia Tundulisu anazikataa shutma anazo pewa kwa maelezo yake Anasema si kwel Tumuulize Yeye je vip Shutma Anazo mpa Hayat?

Leo nimeona Ajabu eti zitto Nape Na Tundulisu wapo kwenye kikao wanajadil mstakabali wa Taifa letu

Nachosubir ni kuona Msimamo wa Mama juu ya huyu Muhain Tundulisu endapo akamuacha na kuingilia mahakama ili kumkingia kifua Tundulisu basi Atabue kua kashiriki kusema Kua Magufuli ndie alie mpiga Risas Tundulisu

Sisi watanzania wenye kujielewa tunataka Tundulisu aje atuthibitishie Tuhuma zake kua Rais Hayat Magufuli ndie alie mpiga Risas kama Alivyo Sema yeye
Hata mwandiko wako unakukana
 
Unatofauti gani na panzi?
Hivi Lissu alikuwa na uwezo wa kuchagua hospital?
Tanzania haina deni na Lissu, alikataa kutumia mfumo wa hospitali za serikali na kupelekwa mgambo kama ingehitajika, basi ajuwe kuwa Tanzania haiwezi kulipa gharama zake za matibabu.

Kesi zake ni zake za yeye kujibu sio rais au serikali kufuta bila kuwa na sababu za msingi, cha muhimu, Tanzania inaweza kujiendesha bila Lissu kuwepo.
 
Katika mambo yanakera moja wapo ni ili LA tundulisu kutaka kuakikishiwa ulinzi ilihal ni mtu mwenye makosa mengi

Tundulisu Analia Mitandaon kua Ameshutumiwa kwa mambo mengi ivyo anaiomba serikal ya Mh Rais Samia Imuangalie kwa jicho la pili na kuomba kuakikishiwa uhuru wake Yan ruga nyepesi ni kwamba Aambiwe Akirudi tz hato kamatwa wala kushtakiwa

Yeye ni Mwanasheria kama kweli Anazijua ni shutma tu zimetolewa juu yake kwanini Asiende Mahakaman kuzikanusha shutma izo
Pia Tundulisu anazikataa shutma anazo pewa kwa maelezo yake Anasema si kwel Tumuulize Yeye je vip Shutma Anazo mpa Hayat?

Leo nimeona Ajabu eti zitto Nape Na Tundulisu wapo kwenye kikao wanajadil mstakabali wa Taifa letu

Nachosubir ni kuona Msimamo wa Mama juu ya huyu Muhain Tundulisu endapo akamuacha na kuingilia mahakama ili kumkingia kifua Tundulisu basi Atabue kua kashiriki kusema Kua Magufuli ndie alie mpiga Risas Tundulisu

Sisi watanzania wenye kujielewa tunataka Tundulisu aje atuthibitishie Tuhuma zake kua Rais Hayat Magufuli ndie alie mpiga Risas kama Alivyo Sema yeye
Umetoa mawazo yako. Napata shida na lugha yako ya uandishi, kiswahili kibovu kabisa kuwahi kutokea. Unaacha maswali mengi!! Pengine mada iko nje ya uwezo wako, pengine wewe ni wale darasa la 7, au pengine siyo mwenzetu. . Eti alikataa kufuata utaratibu wa matibabu!!?

Kumbuka huyu hakuwa mgonjwa wa kawaida hadi afuate utaratibu wa rufaa.
Huyu alikuwa sawa na mtu aliyepata ajali, na alikuwa anapigania uhai wake, chochote kilichoonekana kitaokoa maisha yake ndicho kilifuatwa. Nadhani wewe siyo binadamu wa kawaida!!
Kama spika alikuwepo hospital ya mkoa Dodoma, na alikubaliana na jopo la wataalamu apelekwe nje ya nchi, wewe ni nani hadi uhoji utaratibu???!!!

Wewe wala si kati ya watanzania wanaojielewa kama unavyosema, No. Ni mtu fulani unayepigania Tumbo lako tu, Hutoboi, Mungu hapendi wanafiki..
 
But who is Tundu Lissu?

IMG_7923.png

Weka na yako tuone hapa sio maneno tu vilaza nyie
 
Back
Top Bottom