Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 5,937
- 10,815
Wapo wajinga wanaodhania yakuwa kila mtu wanaemuona anatokea MLANGO wa IKULU ni usalama wa taifa na ndio maana wanaogopa kumbe wengine ni "majwakwama"
Niyaache haya,
Mh Rais Mimi ni raia wako, mwema ninae ipenda nchi yangu kwa moyo wangu wa dhati, nimefatilia mahojiano yaliyofanyika MASAA matano yaliyopita KUHUSIANA na jinsi mtandao wa JamiiForums ulivvyofungwa
Na sababu za kufungiwa kwa mtandao HUO.
Mkurugenzi huyo hakuficha sababu ameweka sawa ikiwemo
1. TAARIFA ya yule bwana gabachori yaani Rostamu kununua Mgodi wa makaa ya mawe kwa SHILINGI bilioni 5.
Mkurugenzi WA JamiiForums anasema Ile habari wao hawakuwa na makosa maana Ile habari aliyeiweka aliitoa kwenye vyanzo vingine akaiweka pale JamiiForums Ili sisi wananchi tuweze changia mjadala na kweli tulichangia mimi nilichangia kwa kusema kabachori kama ni kweli basi ni jizi la rasilimali za kitaifa.
Lengo LILIKUWA ni kumtia hasira ili akai
fungue kesi Ili ukweli ujulikane Ili Hali kuwa Badala yake Rostam aliishia kumwita yule Mzee sijui siku hizi anaandikia CHOMBO Gani na kuelezea porojo porojo. TU.
Mh Rais SUALA la Rostam kwa kweli linaumiza nchi ebu CCM litafutieni majibu mwafaka.
SUALA la pili ni kuhusu picha ULIZOPIGA wewe na lile lijibaba la kizimbambwe wewe mwenyewe mama,
Mama hapa sitokulaumu ila naomba unielewe Kuna pahala protocol za IKULU zinachezewa vibaya mno.
Mh Rais mkurugenzi wa JamiiForums anadai miezi kadhaa iliyopita alikuwa Zimbabwe kwenye masuala yake na ni Moja ya vitu alivyokutana navyo.
TENA HATARI NI KUTAADHALISHWA DHIDI YA MTU WAKIWAJUZA YAKUWA JITU LILE NI JITU HATARI.
Mh Rais picha ZAKO na za yule bwana alizipost yule bwana kwenye mitandao yake yeye mwenyewe, kama ilivyo kawaida mtanzania Mmoja akazibeba akaziweka JamiiForums Ili nasi tuchangie au tutoe MAONI yetu.
Mh Rais baada ya picha hizo kuwekwa, hata Mimi nilichangia maoni kwa kulisema vibaya jitu lile kwani picha zake hazikuwa na maadili ya utanzania.
Swali ni Moja jamaaa ni linani?
Kama jamaa aliweza post picha hizo Instagram na mwana JF akazileta hapa tuzione, tatizo LILIKUWA wapi? Zikifutwa JamiiForums zitakuwa zimefutwa Instagram?
Jibu ni hapana Sasa swali kwanini ifungiwe JamiiForums au Kuna chuki?