Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,913
- 133,926
Serikali haistahili kupokea salamu za rambirambi kwa namna yeyote ile. Licha ya kukumbwa na majanga kama haya lakini serikali imejaa anasa tupu badala ya kufanya maandalizi ya vyombo vya uokozi.
Samia akiwa makamu wa rais serikali iliiwaambia wana Kagera serikali haikuleta tetemeko. Haikutosha serikali ilipokonya rambirambi zetu ikatumia.
Nchi rafiki zielekeze salamu kwa wananchi