Magufuli namba nyingine kwake kila goti litapigwa.
Marekani yenyewe inadukuliwa sembuse Tanzania?Hapa kuna ukweli ambao uko ndani sana, kama akili haijadumaa ndio unaweza kuuona, imeshatokea wanyarandwa kupenya mpaka nyumba nyeupe na kufanya kazi ktk taasisi za kiusalama na nyeti, alishasema anajua mpaka uvunguni kwenye nyumba zetu, ni vyema magu awe mwangalifu na ukaribu wa huyu mtu sio mzuri tubaki ktk biashara tu, ktk tamaduni zote duniani zawadi inaweza kuonyesha jinsi unavyomthamini mtu, hivyo kama Watz tunapaswa kujua utamaduni wa wanyarandwa ktk kutoa zawadi kama kweli ni kama ilivyoandikwa kuna tatizo kubwa hapa, hata Mwl Nyerere alitoa kifimbo aliposalimiwa na gilovusi. Usalama wa nchi kwanza!!!!
Msubi,Mzinza,Mnyantuzu,Mnyamwezi aka Mdakama,Mlongo,Msumbwa n.k hao wote ni wasukuma aka Ngosha
Asante kwa uchambuzi mwananainawezekana hawapendi kuitwa hivyo ..ilivyo ni kuwa kila kabila dogo linapenda identity yake ....ni kama kumuita Mkwere mzaramo....zamani walikuwa wanakubali lakini baada ya kikwete kuwa rais ...walidai identity yao .....
Kuna wakati mwalimu alikuwa anaonge kisa cha Wahaya ...akasema tukiwa huku tunajuwa wote ni wahaya lakini wakifika kule kila mmoja anajivunia identity yake ...kuna Waziba,wahangaza,etc..yako karibu makabila kumi pale ....
Kuna sehemi nimesikia eti ni Msubi!!
Ipi ni ipi hapo?!
Kumbe JF kuna wehu wengi sana....Ng'ombe 5? Rais mzima unampa watano badala ya 100
Maslahi ya FDLR au? Kumbe nao ni watanzaniaSasa mbona hamsemi nini kilivuruga uhusiano wa kagame na kikwete kama sio juhudi ya kikwete kuweka maslahi mbeye ya nchi yake Tanzania?
Kwenye CNN+kwenye mkutano wa DAVOS. unaufaham huo mkutano we Taahira?Alisema wapi kama sio uongo. Serikali yake iliwaacha mpate hifadhi kwenye nchi yetu ila bado mnajifanya jeuri!
Umeona umuhimu wa elimu sasa, hesabu za MAGAZIJUTO unazijua kweli wewe? kama hesabu ya kugawanya/kuzidisha tu hujui.Haya tuambie sasa, kwanini ampe rais wetu ng'ombe watano, mara tatu ya museveni?
Hahaha daah Aisee hapo ndo umeua kabisa, hahahyule alivyo tozi hata angepewa kopo la mayonnaise angebeba.....
Akipewa watano itakuwa hongo usifurahie Rais wako kuzawadiwazawadiwa zawadi nyingine zinahitisha mazingira ya ushawishiNg'ombe 5? Rais mzima unampa watano badala ya 100
Usikimbie hoja wewe kilaza, jibu swali uliloulizwa.Umeona umuhimu wa elimu sasa, hesabu za MAGAZIJUTO unazijua kweli wewe? kama hesabu ya kugawanya/kuzidisha tu hujui.
Utamjibu chizi aliyejichanganya mwnyw Kwny hesabu? Atajibiwa nini sasaUsikimbie hoja wewe kilaza, jibu swali uliloulizwa.
Hahaha asee we jamaa mbona una Wenge kama vile kuna kitu hakiko sawa hapo! OK kwa hasira ulizonazo chora 7 fasta hapo, usaidiwe kupunguza hasira afu ukumbuke wa zanzibar wana msemo wao 'UKALI HAULIWI "Weka ushahidi wa video tuthibitishe, kutwa nzima mnatukana watanzania wanaowahifadhi kwenye makambi ya wakimbizi. Ninyi mnategemea huruma ya Magufuli, mkiikosa si mtamuona kama Kikwete tu!
Kama mlimuona kikwete hafai mnatafuta nini kwa Magufuli wakati kikwete alikuwa rais wa watanzania wakati mnamkashfu? Huku kazi tu, Magufuli ni rais wetu na Kikwete alikuwa ni rais wetu na bado ni rais wetu mstaafu, kwahiyo mlivyomchukulia rais wetu ndivyo mlivyotuchukulia na sisi wananchi wake, je mnataka mchukuljwaje?
Uandishi wako tu ni ishara tosha kubaini kiasi cha IQ yako.Utamjibu chizi aliyejichanganya mwnyw Kwny hesabu? Atajibiwa nini sasa
Unawezaje kupima IQ ya mtu wakati hesabu ndogo tu ya ng'ombe 15 imekushinda, kapige propaganda hicho ndo unachokiweza hesabu sio size yako. Msalimie Tambwe hizzaUandishi wako tu ni ishara tosha kubaini kiasi cha IQ yako.