Power G
JF-Expert Member
- Apr 20, 2011
- 3,886
- 1,194
Kama huyu unamuona ni kiongozi bora, basi ni bora kwa familia yako na ndugu zako. Wengine sisi tunamuona ni mkosi na janga kwa taifa.Wenye akili wanaona na kuthamini kazi ya JK kama mwanzilishi wa hii post hii alivyoona,lakini wengine wamekalia chuki binafsi tu dhidi ya mh. Rais na wako tayari kumkwamisha ili aonekane hafai bila kujali gharama yake kwa watanzania.Lakini pamoja na yote Kikwete atabakia kiongozi bora TZ.