TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 23,914
- 23,079
Tungependa iwe ivyo kama unavyo bashiri ila muda upungue isiwe 2013-2014 bali 2012 tena Mei mosi.
Ndugu wa Tanzania najuwa weng wenu mtakapo isoma post hii mtaibuka na maneno meng sana ila nitasema kile kitatoke either utaniuliza wewe nabii ama umetumwa jibu langu litakuwa subiri uwone.
Rais J. Kikwete amekuwa miongon mwa Rais tangu kufa kwa baba wa Taifa basi yeye amekuja na aina tofauti ya uwongoz ambao sii maadui ama marafiki zake wamebaki midomo wazi wasijuwe kile huyu kiongoz anakifanya.
Lakini pia ni lazima watanzania mjuwe J. Kikwete ni mmoja wa marais ambao wamefanya kazi ktk sehemu nyeti za taifa hili kama JWTZ. Pia ameweza kukaa wizara nyeti ikiwamo madini,fedha na mambo ya nje hivyo anajuwa madudu yanatenda ktk serikali.
Ni nani anajuwa Rais wetu anawaza nini juu ya watanzania? Je huyu ni rais atakaye kitetea chama ama masilai ya watanzani? Je kikwete anafurahia wizi, ujambaz wa rasilimali za taifa hili?
Majibu ndugu watanzania mtakwenda kuyapata mwishoni mwa 2013 na mwanzoni mwa mwaka 2014 nakuwapa kiburudisho 2015. HUYU NI MMOJA WA MARAIS WATAKAO INGIA KTK HISTORIA YA VITABU VYA TAIFA HILI NA MWISHON TUTAMSHUKURU.
Rais wetu ana mpango mzito ambao kama kuna watu wanaujuwa basi itakuwa ni watu wa karibu ktk idara za usalama wa Taifa na wazee ambao wapo karibu nae japo pia wanaweza wasijuwe kile amelenga kuwafanyia watanzania.
Ni kweli hakuna ajuwaye ila tutake tusitake J.K ataenda kubadilisha siasa za taifa hili na kwenda kuwapa kiburudisho wa Tanzania.
Watu wengi wanafikiria kwanini huyu bwana mkubwa ameshadadia issue ya katiba? Kwanin amechaguwa watu ambao wana misimamo mikali ktk siasa za taifa hili? Majibu mtayapata 2014!
Historia ya taifa hili itabadilika na kufunguliwa vitabu vipya. Hakuna anayejuwa ila ktk speach yake ya kwanza bungen wakati alipoingia madarakani kwa kishindo alisema. "Isije ikafika siku watoto wetu na wajukuu wetu wakachukua fimbo na kuyachapa makaburi yetu huku wakiuliza hivi kweli watu hawa walikuwa na akili pindi wanafanya maamuzi"
Mim nikiwa mchambuzi wa yale mtu huyasema maneno haya ni ya kizalendo sana kwa mtu anaelipenda taifa lake.
Ndugu watanzania hakuna anayejuwa kile kitatokea ila pia huenda bwana mkubwa akafanya mabadiliko makubwa ktk serikali yake mwaka huu baada ya bunge la budget.
Tuzidi kumuombea Mungu, vyombo vya usalama wa nchi msimuache huyu bwana mkubwa mlindeni kwa nguvu zote aijalish how much it wl cost us ila tunaitaji kuona Rais wetu anatekeleza kile kimekusudiwa, hasa tukijuwa mabepari wanakula na viongoz wasio waadilifu na kwa sababu hiyo hawawez kumpenda Rais wetu hasa wazo lake lakatiba mpya ambalo ndani yake kiama cha viongoz wabadhirifu kitakuwemo.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake! Amen
Hakuna lolote huyo rais wenu, amalize tu muda wake ajiendee kwao 'akapumzike kwa amani'. Kama ni suala la katiba hilo wala siyo suala la kutuburudisha, hiyo ni haki yetu wala siyo hisani. Rais gani anakuwa madarakani miaka 10 lakini nchi inakuwa Kama haina kiongozi!? Aende zake huko.
Heee, yaani sisi wengine hatuna ubinadamu kwa kugundua udhaifu wa Kikwete?Kama unaweza kusema haya basi wewe ni mmojawapo wa watu wachache sana walio na quality ya "ubinadamu". Nakupongweza sana!