Rais J. Kikwete na siri nzito ya taifa hili kujulikana 2014 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais J. Kikwete na siri nzito ya taifa hili kujulikana 2014

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TumainiEl, Apr 14, 2012.

 1. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,891
  Likes Received: 1,649
  Trophy Points: 280
  Ndugu wa Tanzania najuwa weng wenu mtakapo isoma post hii mtaibuka na maneno meng sana ila nitasema kile kitatoke either utaniuliza wewe nabii ama umetumwa jibu langu litakuwa subiri uwone.

  Rais J. Kikwete amekuwa miongon mwa Rais tangu kufa kwa baba wa Taifa basi yeye amekuja na aina tofauti ya uwongoz ambao sii maadui ama marafiki zake wamebaki midomo wazi wasijuwe kile huyu kiongoz anakifanya.

  Lakini pia ni lazima watanzania mjuwe J. Kikwete ni mmoja wa marais ambao wamefanya kazi ktk sehemu nyeti za taifa hili kama JWTZ. Pia ameweza kukaa wizara nyeti ikiwamo madini,fedha na mambo ya nje hivyo anajuwa madudu yanatenda ktk serikali.

  Ni nani anajuwa Rais wetu anawaza nini juu ya watanzania? Je huyu ni rais atakaye kitetea chama ama masilai ya watanzani? Je kikwete anafurahia wizi, ujambaz wa rasilimali za taifa hili?

  Majibu ndugu watanzania mtakwenda kuyapata mwishoni mwa 2013 na mwanzoni mwa mwaka 2014 nakuwapa kiburudisho 2015. HUYU NI MMOJA WA MARAIS WATAKAO INGIA KTK HISTORIA YA VITABU VYA TAIFA HILI NA MWISHON TUTAMSHUKURU.

  Rais wetu ana mpango mzito ambao kama kuna watu wanaujuwa basi itakuwa ni watu wa karibu ktk idara za usalama wa Taifa na wazee ambao wapo karibu nae japo pia wanaweza wasijuwe kile amelenga kuwafanyia watanzania.

  Ni kweli hakuna ajuwaye ila tutake tusitake J.K ataenda kubadilisha siasa za taifa hili na kwenda kuwapa kiburudisho wa Tanzania.

  Watu wengi wanafikiria kwanini huyu bwana mkubwa ameshadadia issue ya katiba? Kwanin amechaguwa watu ambao wana misimamo mikali ktk siasa za taifa hili? Majibu mtayapata 2014!

  Historia ya taifa hili itabadilika na kufunguliwa vitabu vipya. Hakuna anayejuwa ila ktk speach yake ya kwanza bungen wakati alipoingia madarakani kwa kishindo alisema. "Isije ikafika siku watoto wetu na wajukuu wetu wakachukua fimbo na kuyachapa makaburi yetu huku wakiuliza hivi kweli watu hawa walikuwa na akili pindi wanafanya maamuzi"

  Mim nikiwa mchambuzi wa yale mtu huyasema maneno haya ni ya kizalendo sana kwa mtu anaelipenda taifa lake.

  Ndugu watanzania hakuna anayejuwa kile kitatokea ila pia huenda bwana mkubwa akafanya mabadiliko makubwa ktk serikali yake mwaka huu baada ya bunge la budget.

  Tuzidi kumuombea Mungu, vyombo vya usalama wa nchi msimuache huyu bwana mkubwa mlindeni kwa nguvu zote aijalish how much it wl cost us ila tunaitaji kuona Rais wetu anatekeleza kile kimekusudiwa, hasa tukijuwa mabepari wanakula na viongoz wasio waadilifu na kwa sababu hiyo hawawez kumpenda Rais wetu hasa wazo lake lakatiba mpya ambalo ndani yake kiama cha viongoz wabadhirifu kitakuwemo.

  Mungu ibariki Tanzania na watu wake! Amen
   
 2. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Mkuu Tumaini post imetuli sana,
  ila hebu weka viparagraph kaka unatuua macho wengine tumezeeka!
   
 3. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,891
  Likes Received: 1,649
  Trophy Points: 280
  nataman ila tatizo natumia sim ku upload hivi vitu ila kama mtu yupo ange edit watu wasome.. Nakujuwa vitu vitatokea!
   
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  90% true, Rais kwa kweli amekuwa wa ajabu sana huenda haya yakawa ya kweli. Tazama alivyoshambuliwa na vyombo vya habari, wanansiasa, wasomi na hata watu ambao hawajui nini maana ya uongozi, lakini amekuwa mpole na mtu asiye na papara ya kujibu kashfa. Hakika siku atakapobebwa juu juu na watanzania walio wengi kwa mema yake ndipo hawa wasiojua walitendalo watakapoaibika.

  Mungu mbariki Rais wetu, ibariki Tanzania, Ibariki Afrika.
   
 5. BabuK

  BabuK JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2012
  Joined: Jul 30, 2008
  Messages: 1,847
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Haya ngoja tusubiri hio siri ambayo itakuwa si siri tena muda huo?? Je asipotufanyie hilo la sirini? tufanyeje??
   
 6. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ukweli mtupu nanilikuwa nawazo lakupost post kama hii ya kwako ila nilihisi watu wataleta uchama.
   
 7. A

  Aman Ng'oma Verified User

  #7
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 930
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 60
  Wenye akili wanaona na kuthamini kazi ya JK kama mwanzilishi wa hii post hii alivyoona,lakini wengine wamekalia chuki binafsi tu dhidi ya mh. Rais na wako tayari kumkwamisha ili aonekane hafai bila kujali gharama yake kwa watanzania.Lakini pamoja na yote Kikwete atabakia kiongozi bora TZ.
   
 8. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,971
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hakuna lolote huyo rais wenu, amalize tu muda wake ajiendee kwao 'akapumzike kwa amani'. Kama ni suala la katiba hilo wala siyo suala la kutuburudisha, hiyo ni haki yetu wala siyo hisani. Rais gani anakuwa madarakani miaka 10 lakini nchi inakuwa Kama haina kiongozi!? Aende zake huko.
   
 9. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #9
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mkuu bado sijaona uchambuzi yakinifu katika hoja zako. Upekee unaozungumzia mimi nadhani ni ndoto kabisa labda kama hufahamu mambo uombe tukujulishe.

  Watu wanaangalia uchumi unakuwaje mkuu. Hali ya nchi kiuchumi ni mbaya na kisingizio pekee kinachotumika ni mtikisiko wa uchumi wa dunia umeathiri hata sisi uchumi wetu. Wananchi ambao ndiyo wapiga kura haweelewi hilo, wao wanataka unafuu wa maisha na siyo stori ulizoziainisha.

  Kukusu katiba ni mapema mno kulisemea kuwa katiba itakuwa ni aina gani kutokana na tume iliyoundwa kuwa bado watu wanaifanyia utafiti kuanzia members waliochaguliwa kama kweli wanafaa majukumu waliopewa au ni kama kupeana ulaji tu.

  Kifupi ungesema labda JK ataingia katika kumbukumbu za kipekee kwa watanzania kwa chama chake anachokiongoza kufia mikononi mwake ningekuelewa na siyo mambo ya kusadikika ambayo ameshindwa kuyafanya miaka saba toka awe madarakani halafu utuaminishe eti miaka mitatu itatokea miujiza hata kama akivunja baraza la mawaziri hauwezi kuwa utetezi tosha maana toka mwanzo aliowachagua alikuwa anajua uwezo wao.
   
 10. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #10
  Apr 14, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Nasikia kizunguzungu! hii promo lazima itakuwa imetoka klauds fm. Jk kama mwanae mwanaasha. Amefeli mno kiuongozi. sifa yake kuu ni kucheka cheka mpaka misibani. inaonekana wewe ni mzee wa daresalamu mnaoitwaga pale karibu na muhimbili.
   
 11. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Na wewe Chali wa Moshi kama unasupport sehemu ambayo hakuna hoja nahoji uchali wako umekaaje? Nikiuambia mtoa mada ameongelea nini cha maana unaweza kweli hata kusummary ukamwambia mtu aiseee kuna post nimeisoma jamaa amaeongoea vitu vya ukweli a,b,c......?
   
 12. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #12
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,891
  Likes Received: 1,649
  Trophy Points: 280
  Ukiwa mzazi unakuwa na mengi moyon ila watoto cku zote wataweza ona mzaz awatendei haki,but wakikuwa watajuwa. Katiba mpya mwiba wa mwisho kwa mafisadi. Utaona.
   
 13. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #13
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sana losambo
   
 14. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #14
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,891
  Likes Received: 1,649
  Trophy Points: 280
  Narudia tena kwenu member kikwete anasiri nzito,kucheka kwake anawaficha atakacho wafanyia magamba.
   
 15. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #15
  Apr 14, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hiyo siri unayoisema siyo siri tena, kama usalama wa taifa na wazee wanafahamu kinachoendelea utaiitaje siri. sema JK ameshaona taifa linamfia so ameamua kutekeleza yale watu walikuwa wanalilia ili kupunguza makali ya maisha kwa wantanzania kipind kilicho baki watu wabaki wameelekeza mawazo yao kwenye katiba na yeye apumue. Laiti kama uchumi ungekuwa mzuri JK asingethubutu kuleta hoja ya katiba. maisha magumu ya wantanzania ndo yamemsukuma akubaliane na wapinzani.
   
 16. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #16
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,851
  Trophy Points: 280
  mbona sijaelewa? labda nina akili nyembamba haziwezi kufumbua methali
   
 17. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #17
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nahisi wewe,chali wa bagamoyo.
   
 18. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #18
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Acha mawazo ya usingizini,maswala ya chama yanatoka wapi?utaifa mbele chali wa kikwere.
   
 19. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #19
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Haya ni mawazo yako na si ya jk,Comrade mtu mwongo habadiriki fanya hesabu ndogo tu chukua miaka mitatu na miezi nane kisha uigawe na ahadi alizozitoa huyo rais wako kipindi cha kampeni pamoja na matatzo lukuki aliyoyaongeza uajua kwamba siri ya huyo jk ni kukiangamiza chama chake na Taifa kwa ujumla,najua utajidai kipofu na kiziwi,
   
 20. Ikwanja

  Ikwanja JF-Expert Member

  #20
  Apr 14, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,988
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  msifananishe huyu mtu na baba wa taifa, huyu hakuna kitu, kwa nini asuburi kufanya mwishoni wakati nchi inaibiwa? ina maana anataka aache mifupa ndo mfurahi? hicho ni kichwa cha nazi!!
   
Loading...