#COVID19 Rais Hussein Mwinyi waombe radhi waliochanjwa Zanzibar, umewakosea sana

Hahah...

Kuna wakati nishawahi andika hivi kwamba wanadamu tunageuka kuwa machines...

Kuna raia watakuwa wapo updated to Win 11, halafu kuna wengine watakua sijui Win 95 huko, a.k.a very outdated person 😁
Asante sana Mkuu kwa kunielewa. Bahati mbaya wenzetu hawasituki yaani ni mdundo kwenda mbele ha ha haaaa!
 
Endelea na u self seeking wako...I thought una substance kumbe na wewe ni mtafuta jina...Nikujue ili iweje?
NONSENSE! Kukuambia hunijui ni kutafuta self-seeking?! Unapom-define mtu tofauti na alivyo ni nini tafsiri yake kama sio kwamba humjui?! Hoja yako ilikuwa niache professionalism itawale wakati kila mwenye akili timamu, na amenisoma vizuri ameona reference zangu sio kauli za wanasiasa bali za kitaalamu! Sasa unapo-assume napuuza professionalism nini tafsiri yake kama sio kwamba HUNIJUI?
Mpaka sasa najua wewe self seeking person
Acha kujadili watu, jadili hoja!!
huna habari na public wala huna habari na safety yao wewe unatafuta yako ya binafsi...Kuingia lab unajuaje kama sasa sipo lab....Unatabu sana!
Sasa kati yangu ninayetoa maelezo referred ambayo source yake ni watalaamu, na wewe unayetoa maelezo ya kichwani ni nani mbinafsi? Hivi una akili kweli wewe?! Yaani umeshindwa kujadili hoja unakimbilia personal attack? Stupid.
 
Back
Top Bottom