#COVID19 Rais Hussein Mwinyi waombe radhi waliochanjwa Zanzibar, umewakosea sana

Hivi windows ukitaka ku update si inabidi ku restart PC sasa hapa inakuaje

Hahah...

Kwa chanjo za Covid-19 haina madhara ingawaje studies zinaendelea...

Kuna raia ambao wameshamix Astrazenica + Pfizer/Moderna...wengine Sinovac + Pfizer...
 
Aliyesema zikichanganywa hazina madhara?
Majaribio kuhusu hiyo issue yameshawahi kufanyika. Ninayokumbuka mimi ni ya kuchanganya UK & Astra, na matokeo yake yalionekana kuwa bora zaidi kulinganisha na kuchukua two jabs of the same vaccines. Hata hivyo, sidhani kama WHO wame-approve lakini zipo nchi ambazo tayari wanafanya hiyo kitu.
 
Kwahiyo wanachanganyiwa ili kuboresha au wanachomwa kwakua ile ya kwanza haitambuliki?

Huoni kwamba unakoelekea ni wapi? Lets be careful tusiwaingize wanasiasa wetu kwenye mitego isiyo ya lazima na kuwachonganisha na public...
 
Kwahiyo wanachanganyiwa ili kuboresha au wanachomwa kwakua ile ya kwanza haitambuliki?
Kwa ajili ya kuboresha. Lakini ili kuweka kumbukumbu sawa ili tusiwachanganye wengine, inaposemwa kuchanganya haina maana ya kuchanganya chanjo mbili na kutengeneza single mixture, bali unapopata chanjo ya kwanza ya Pfizer kwa mfano, mara ya pili utadungwa Astra!! Hii ni tofauti na ushauri uliokuwa umetolewa hapo awali kwamba kama umeanza na Pfizer, basi second shot iwe ya Pfizer na sio chanjo nyingine. Na hii issue ilipata nguvu zaidi baada ya kuibuka kwa Delta Variant ambae alionekana kuto-respond vizuri na chanjo
 
Siasa isimame kama siasa na profession isimame kama profession...Kwenye profession kama kuna doubts au limits zinawekwa wazi ili public inapo amua kwa uhuru wafanye informed decisions
Tafiti zote zipo wazi unless waTZ ni wavivu wa kusoma. Elimu kila siku inatolewa na kina Dk.Osati et al ila waTZ wanapenda umbea. Ingia jukwaa la afya au sheria uone members hawazidi 50 ila MMU unakuta watu 1.5 m per thread. Alafu unakuta mtu anabisha kuhusu tafiti za chanjo!!! Wakati hajafanya effort kupata taarifa sahihi ili afanye informed decision.

Kwahiyo ikiwa hiari hatutakiwi kujua kama kuna madhara au la? Maana kama zote zinafaa na hawa wanakataliwa kwamba wanahitaji ya aina nyingine kisha mtu kauliza je hazina madhara zikichanganywa unaambiwa aliyesema ni mtaalamu kwani aliye recommend ile ya kwanza hakuwa mtaalamu?
Saudi kutotambua chanjo haimaanishi hawaiamini Sinovac ila ni sera tu ya nchi ili kuwepo na standardization. Ila tunapoongelea chanjo kwa kuangalia efficacy zote zipo above 60-70% meaning zipo effective. Hayo ya kwamba hii nataka au hii sitaki ni vita ya kidiplomasia tu ukizingatia Saudia ni mshirika wa USA. Kazi ya madaktari ni kurecommend dawa kitaalamu ila sio kupangia mataifa mengine sera za kiafya au diplomasia. So nmekujibu kuhusu kuchanganya haina madhara coz dr.janabi kasema hivo na anajua tiba kuliko ww na mimi sasa unapobisha una reference gani? Au tuamini maneno yako uliye na degree ya finance tuache wenye degree ya medicine?

Kuna jinsi mnapunguza public trust na kuwa mis lead decision makers bila kuona kwamba mnaweza sababisha public ku riot...Wataalamu wanafahamu jinsi ya kutoa facts zao na limit zao huku wakizingatia ethics...Lakini wataalamu wanapoamua kuwa wana siasa tatizo linaanzia hapo na siyo jambo la kushadadia kwakua public iki riot hakuna ambaye ataweza kui contain...Ili tusifike huko basi hizo ethics zizingatiwe.
Misinformation ni ipi hapo? Kwani umesikia kwamba sinovac imekataliwa sababu ina sumu? Maana hyo ndio ingepoteza public trust ila kma ni mere regulation or standardization ya Saudia sioni jipya hapo maana wanaohiji ni 0.001% ya wazanzibar wote sasa unaposema public trust inapotea ndio ipi??
 
Mimi binafsi siipendi CCM kabisa, Ila kuna baadhi ya viongozi kidogo naona wana afadhali mmojawapo ni Hussein Mwinyi.

Raisi Mwinyi ni kiongozi mzuri sana, lakini hii haifanyi yeye kutotenda makosa. Raisi Mwinyi wakati wa kuagiza chanjo ya corona aliwahakikishia Wazanzibar kuwa chanjo wanayoleta ni salama sana hivyo wasiwe na wasiwasi wowote.

Akaenda mbali na kusema wameamua kuagiza chanjo kwa kuwa kuna watu wanahitaji kwenda "hijja", hivyo ni lazima walete chanjo watu wachanje waende hijja.

Alisisitiza sana kuwa kwenda hijja kuna vikwazo kwa wasiochanjwa hivyo chanjo hizi zitafanya Wazanzibar kwenda hijja bila kikwazo. Leo serikali hii hii imetoa taarifa kuwa waliopata chanjo wanapaswa tena kuchanja kwa kuwa chanjo waliochanja mwanzo haitambuliki huko Saudi Arabia.

Haya ni masihara kabisa kwenye afya za watu, ilipaswa kabla ya kuagiza chanjo ilipaswa Serikali ijiridhishe. Leo unawaambia watu warudie kuchanjwa chanjo nyingine tofauti na Sinovac, ikiwa mwanzo ulitumia kigezo cha hijja ili wakubali kupata chanjo.

Haya ni makosa makubwa ambayo Rais umeyafanya, inapaswa uwaombe radhi wote waliopata chanjo.

Kwa kuwa kama chanjo waliyopata haitambuliki sehemu takatifu Kama Makka, je usalama wa hiyo chanjo upo wapi?
Aisee! Ok ilimradi wasije wakaota mikia mgongoni kwa sababu ya chanjo, hapo ndipo atawafahamu uzuri mkojaanii hawata kubali atii
 
Hivi wanatumia vigezo gani kuwa chanjo hawaitambuwi wakati wanayoitumia inawasaidia

According to 31 st data za covid
China ime record only 37 new cases with no death

Wakati USA iko hivi:

tuache kupelekeshwa kama watumwa.
 
Mimi binafsi siipendi CCM kabisa, Ila kuna baadhi ya viongozi kidogo naona wana afadhali mmojawapo ni Hussein Mwinyi.

Raisi Mwinyi ni kiongozi mzuri sana, lakini hii haifanyi yeye kutotenda makosa. Raisi Mwinyi wakati wa kuagiza chanjo ya corona aliwahakikishia Wazanzibar kuwa chanjo wanayoleta ni salama sana hivyo wasiwe na wasiwasi wowote.

Akaenda mbali na kusema wameamua kuagiza chanjo kwa kuwa kuna watu wanahitaji kwenda "hijja", hivyo ni lazima walete chanjo watu wachanje waende hijja.

Alisisitiza sana kuwa kwenda hijja kuna vikwazo kwa wasiochanjwa hivyo chanjo hizi zitafanya Wazanzibar kwenda hijja bila kikwazo. Leo serikali hii hii imetoa taarifa kuwa waliopata chanjo wanapaswa tena kuchanja kwa kuwa chanjo waliochanja mwanzo haitambuliki huko Saudi Arabia.

Haya ni masihara kabisa kwenye afya za watu, ilipaswa kabla ya kuagiza chanjo ilipaswa Serikali ijiridhishe. Leo unawaambia watu warudie kuchanjwa chanjo nyingine tofauti na Sinovac, ikiwa mwanzo ulitumia kigezo cha hijja ili wakubali kupata chanjo.

Haya ni makosa makubwa ambayo Rais umeyafanya, inapaswa uwaombe radhi wote waliopata chanjo.

Kwa kuwa kama chanjo waliyopata haitambuliki sehemu takatifu Kama Makka, je usalama wa hiyo chanjo upo wapi?
Wamegeuza miili ya wananchi wao kuwa miili ya majaribio.
 
Kwa ajili ya kuboresha. Lakini ili kuweka kumbukumbu sawa ili tusiwachanganye wengine, inaposemwa kuchanganya haina maana ya kuchanganya chanjo mbili na kutengeneza single mixture, bali unapopata chanjo ya kwanza ya UK kwa mfano, mara ya pili utadungwa Astra!! Hii ni tofauti na ushauri uliokuwa umetolewa hapo awali kwamba kama umeanza na UK, basi second shot iwe ya UK na sio chanjo nyingine. Na hii issue ilipata nguvu zaidi baada ya kuibuka kwa Delta Variant ambae alionekana kuto-respond vizuri na chanjo wananchi wapo kwenye majaribio ya kuona kama chanjo zikidungwa mbili za aina tofauti kwa mtu moja ni bora au la...Ndicho unachotaka kusema?
Just read what you have written and go back to the topic utagundua unasababisha unnecessary confusion japo unadhani unaleta utetezi
 
Mimi binafsi siipendi CCM kabisa, Ila kuna baadhi ya viongozi kidogo naona wana afadhali mmojawapo ni Hussein Mwinyi.

Raisi Mwinyi ni kiongozi mzuri sana, lakini hii haifanyi yeye kutotenda makosa. Raisi Mwinyi wakati wa kuagiza chanjo ya corona aliwahakikishia Wazanzibar kuwa chanjo wanayoleta ni salama sana hivyo wasiwe na wasiwasi wowote.

Akaenda mbali na kusema wameamua kuagiza chanjo kwa kuwa kuna watu wanahitaji kwenda "hijja", hivyo ni lazima walete chanjo watu wachanje waende hijja.

Alisisitiza sana kuwa kwenda hijja kuna vikwazo kwa wasiochanjwa hivyo chanjo hizi zitafanya Wazanzibar kwenda hijja bila kikwazo. Leo serikali hii hii imetoa taarifa kuwa waliopata chanjo wanapaswa tena kuchanja kwa kuwa chanjo waliochanja mwanzo haitambuliki huko Saudi Arabia.

Haya ni masihara kabisa kwenye afya za watu, ilipaswa kabla ya kuagiza chanjo ilipaswa Serikali ijiridhishe. Leo unawaambia watu warudie kuchanjwa chanjo nyingine tofauti na Sinovac, ikiwa mwanzo ulitumia kigezo cha hijja ili wakubali kupata chanjo.

Haya ni makosa makubwa ambayo Rais umeyafanya, inapaswa uwaombe radhi wote waliopata chanjo.

Kwa kuwa kama chanjo waliyopata haitambuliki sehemu takatifu Kama Makka, je usalama wa hiyo chanjo upo wapi?

kwa lugha moja nyote mtamuelewa gwajiboy
 
Tafiti zote zipo wazi unless waTZ ni wavivu wa kusoma. Elimu kila siku inatolewa na kina Dk.Osati et al ila waTZ wanapenda umbea. Ingia jukwaa la afya au sheria uone members hawazidi 50 ila MMU unakuta watu 1.5 m per thread. Alafu unakuta mtu anabisha kuhusu tafiti za chanjo!!! Wakati hajafanya effort kupata taarifa sahihi ili afanye informed decision.

Saudi kutotambua chanjo haimaanishi hawaiamini Sinovac ila ni sera tu ya nchi ili kuwepo na standardization. Ila tunapoongelea chanjo kwa kuangalia efficacy zote zipo above 60-70% meaning zipo effective. Hayo ya kwamba hii nataka au hii sitaki ni vita ya kidiplomasia tu ukizingatia Saudia ni mshirika wa USA. Kazi ya madaktari ni kurecommend dawa kitaalamu ila sio kupangia mataifa mengine sera za kiafya au diplomasia. So nmekujibu kuhusu kuchanganya haina madhara coz dr.janabi kasema hivo na anajua tiba kuliko ww na mimi sasa unapobisha una reference gani? Au tuamini maneno yako uliye na degree ya finance tuache wenye degree ya medicine?

Misinformation ni ipi hapo? Kwani umesikia kwamba sinovac imekataliwa sababu ina sumu? Maana hyo ndio ingepoteza public trust ila kma ni mere regulation or standardization ya Saudia sioni jipya hapo maana wanaohiji ni 0.001% ya wazanzibar wote sasa unaposema public trust inapotea ndio ipi??
Unachojibu ni ku confuse tu watu...Kuhusu kujua au kutojua wewe unajua mimi na jua nini sawa au tofauti na wewe?
Narudia tena msichanganye siasa na professionalism...Kama kosa limetokea lijibiwe kwa minajili hiyo...Mh. Rais Mwinyi siyo mkorofi wala siyo fanatic ila kuna ninyi wapambe mnaoleta confusion ndiyo mnashida....
 
Just read what you have written and go back to the topic utagundua unasababisha unnecessary confusion japo unadhani unaleta utetezi
Kama huelewi, hilo ni tatizo lako vinginevyo taja hiyo confusion ni ipi
 
Alifanya utafiti lini kujua haina madhara? Wapendwa afya za watu siyo kura, siasa tuiweke kando kwenye uzima wa mtu...Akifa au akioata madhara anayeumia ni ndugu zake...
Ni kweli kabisa
Na ndio maana hata serikali imejitoa endapo utapata madhara. Kama ni salama kwa nini tunasaini consent form?
 
Back
Top Bottom