Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 2,482
- 5,621
Wakuu vyombo vyetu vya habari ni vimepigwa ganzi! Wasomi wamepigwa ganzi! Nawaelewa maana nchi hii kupotea ni dakika.
Juzi rais anasema amewasamehe walioshtakiwa! Kimsingi rais hana mamlaka ya kusamehe washtakiwa/watuhumiwa.
Prerogative of mercy ambayo rais anayo ni kwa watu waliohukumiwa(convicted).
Sasa hili la rais kusema natoa msamaha in the context ya kilichotokea haijakaa vizuri, ikizingatiwa yeye ni sehemu ya shutuma hizi nzito. Then anatoa msamaha ambao kisheria sio msamaha.
Nafahamu serikali inayo mamlaka ya kufuta mashauri kupitia nolle prosqui (powers za DPP). Swali ni huu ni msamaha? Jibu langu ni hapana sio msamaha. Maana msamaha hutolewa kwa waliokosea sio watuhumiwa!
Kimsingi nolle prosqui ipo kwa ajili ya public interest, ni sahihi kutumia nolle prosqui kwa mazingira ya sasa hasa ukizingatia mashtaka yenyewe ni ya kubumba. Nolle pia inaweza kutumika ukiwa prosecutor ataona hana ushahidi wa kutosha kumfunga mtuhumiwa au kwa sababu za kiusalama, n.k.
Kamwe mamlaka ya nolle sio msamaha na Wala rais hana mamlaka ya kusamehe washtakiwa....by the way kusamehe washtakiwa ni kuingilia mhimili wa mahakama.
Lakini ona magazeti, ona wabunge, rais amesanehe washtakiwa!!!! Naelewa ni ganzi.
Mambo haya mpaka lini?