Rais hakukosea kusema atamleta Usher Raymond

Rais hakukosea kusema atamleta Usher Raymond

stive wamemchagua vp kilaza kama yule yaani akili yake mbaya

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ndo maana Zitto aliwatumia Leka tutigite kama daraja la kupiga mpunga wa NSSF na TANAPA.hamna kitu hawa,
 
wasanii wenyewe ndo hawa wanasubiri misiba wakapige mapicha ya kuuzia sura? Kama tu hata msiba hawajui ni nini unadhani kuna kitu wanajua? Kweli baada ya mungu ni mzungu,then wao...
 
Back
Top Bottom