Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,663
Hivi yule steve nyerere huwa zinamtosha kweli kichwani?
Hivi yule steve nyerere huwa zinamtosha kweli kichwani?
Hivi siku hizi inahitaji akili nyingi kuwa maarufu na kuishi mjini????!!!!!
hapo kwa jicho la tatu namekuelewa sana
tumbo mbele akili nyuma
Hivi siku hizi inahitaji akili nyingi kuwa maarufu na kuishi mjini????!!!!!
hata aliyeruka uzio kwenda kumshika kaka naye ndio kaumaarufu kake na nasikia kimempatia demu mkali.
nilitaka kushangaa kwamba aliyefunguwa thread hii awe na uwezo wa kuandika hivi.
Steve Nyerere amenifanya nicheke sana........ eti kujulikana tu kama kuna mtu anaitwa steve
ni sifa mojawapo duh
Matola si tulikubaliana siku hizi hatutifui sababu tunaelekeza prayoriti kwenye familia???!!!!
Steve amejibu kama mtotoi
muvi hazimlipi amebaki kufanya kazi ya. ukuwadi kwa viongozi apate mlo.
nilitaka kushangaa kwamba aliyefunguwa thread hii awe na uwezo wa kuandika hivi.
Uko sawa my dada!!!!!!