Rais hajakataa kukosolewa lakini njia zitumikazo kumkosoa ni za hovyo

Kusimama majukwani tena madhabahuni kumkosoa Mkuu Wa nchi siyo njia sahihi na siyo njia ya staha kutumia!! Mkuu Wa dini anaheshimika na kila mtu hata Mungu anamheshimu sana tu!! Hivyo ukitaka kumuona Mkuu Wa nchi kwa lengo na kutaka kumhekimisha ( maana Kuhani au askofu anatakiwa awe na hekima ya kimungu ili kuwahekimisha wanadamu) sidhani kama utakataliwa pale ikulu kumuona mh rais! Kingine kulingana na katiba ya JMT mh rais halazimishwi mahala popote kufuata ushauri Wa MTU!!

Kiongozi Wa dini kuropoka hovyo juu ya Mkuu Wa nchi nikumkosea heshima muumba wako ,ni kuihalifu Biblia na maandishi matakatifu!! Hata Yesu huyo anayehubiriwa na wakuu Wa dini hakuwahi kuwakashfu wakuu Wa waserikali na ndiyo maana hata Pilato alikosa kosa la kumshitaki ndipo aliposema kuwa: sijaona hatia yoyote juu ya MTU huyu!! Haya yote ni kwa sababu Yesu au Issa Bin Mariam alihubiri njili ya amani yenye kuleta toba !!

Kiongozi Wa dini kazi yake ni kuhubiri njili ya amani iletayo toba ili watu waokoke!! Hakuna mahala popote Yesu alihubiri majukwani akimlazima Pilato au herode kuwa aokoke!! Mwenye heshima MPE heshima yake!Jifunzeni kwa Yohana mbatizaji alipojaribu kumkosoa Herode!! Njili ya Yohana mbatizaji ilikatizwa kwa kuchinjwa kichwa labda mahala pengine haikuwa sahihi kumkosoa hadhalani mfalme herode!!
Ukitaka kumhubiri Mkuu Wa nchi mwalike oficine kwako aanza kumhubiri!!
Ikulu ina tovuti ramsi ,mh rais ana email address kwa nini tusitumie njia hizi kutoa ushauri kwa rais! mh rais anayajua maovu ya kila mtu lakini hakuna mahala popote amewadhalilisha wakuu Wa dini kwa sababu anajua kwa kufanya hivyo atakuwa anagombana na Mungu !! Ikiwa anawaheshimu ninyi kwa nini msimheshimu?

Kazi ya Muumini na kiongozi wadini ni kuiombea serikali ikiyoko kadarakani regardless ni nzuri au mbaya!! Kuomba tu na siyo kuropoka majukwani!! Kuropoka majukwani ni dalili ya mtu aliyefilisika kiroho Sasa Anataka kupambana kimwili!! Biblia au Quran haijatufundisha kuwakashifu ,kuwakemea ,kuwatukana ,kuwakebehi ,kuwadhakilisha viongozi wetu!!!

Sasa wewe unatumia Biblia au Quran gani? Au umetunga Biblia au Quran ya kwako!!!
Umesomea wapi theologia mpaka kuwa askofu Wa kuwatukana watu? Au umesomea kuzimu kwa shetani ambaye ni mwasi tangia asili?? Lakini kama ulisomea kuzimu au shetani ndiye kakufundisha basi utashushwa mpaka kuzimu kama shetani alivyoshushwa mpaka kuzimu baada ya kuendesha uasi mbinguni!!

Tuwavumilie viongozi wetu kama vile tuwavumiliavyo waumini wengine Wa madhehebu yetu!! Muda wao wadarakani ni miaka mitano tu wakijitahidi ni miaka kumi!! Kwani kuleta matengano wakati kazi yetu ilitakiwa kuleta mshikamano?
Watu mliozoea kujipendekeza mna matatizo ya akili. Kwa taarifa yako Biblia ndio inaelekeza viongozi wa dini kukosoa watu (hata awe kiongozi) hadharani. Yohana Mbatizaji alimkosa Herode hadharani akachinjwa, lakini alitimiza wajibu wake kama amavyofanya Kakobe. Au unafikiri Kakobe anaogopa kukamatwa au kifungwa? Hayo ni matokeo ya kazi ya utumishi wa Mungu.
Hata Yesu alisulubiwa kwa sababu ya kuwakosoa viongozi wa mafarisayo hadharani.
Paul na Sila walifungwa jela kwa kupiga amri za serikali ya wakati huo iliyowakataza kuhubiri hadharani.
Wanafunzi karibu wote wa Yesu waliuawa kwa kuhubiri hadharani, ndio maana leo ukristo umetufikia.
Kitu cha kuzingatia hapa ni kuhubiri hadharani na kutaja uovu wa watu ili watubu waziache.
Kuwa Rais au chochote siyo kichaka cha kuficha dhambi.
Hivi ingetokea Kakobe amemsifia Magufuli mngesema ameropoka? Au amechanganya dini na siasa?
 
kukosolewa. hili ni neno gumu kwenye moyo mgumu, ni neno jepesi kwenye moyo mwepesi. ukijua kama una ubongo mmoja huwezi kushangaa ukiwa unadanganywa au kukosolewa. Mengine ni dhamana, sasa ulipokea kwa moyo au akili? je ni mazoea au msukumo? mimi na wewe hatujui.
 
Wanataka kum-blackmail mkuu wa nchi kwa kutumia mimbari waliyonayo. Uzuri wa JPM akisimamia kwenye falsafa fulani huwezi kumbadili mawazo.

Walijaribu kupitia kwa Makonda na CV yake, wakagonga mwamba, huyu mchungaji hawezi kuwa na impact kama vyama huru vya wasomi, hawezi kuwa na ushawishi kama ule wa NGO's za Dar.
 
Kusimama majukwani tena madhabahuni kumkosoa Mkuu Wa nchi siyo njia sahihi na siyo njia ya staha kutumia!! Mkuu Wa dini anaheshimika na kila mtu hata Mungu anamheshimu sana tu!! Hivyo ukitaka kumuona Mkuu Wa nchi kwa lengo na kutaka kumhekimisha ( maana Kuhani au askofu anatakiwa awe na hekima ya kimungu ili kuwahekimisha wanadamu) sidhani kama utakataliwa pale ikulu kumuona mh rais! Kingine kulingana na katiba ya JMT mh rais halazimishwi mahala popote kufuata ushauri Wa MTU!!

Kiongozi Wa dini kuropoka hovyo juu ya Mkuu Wa nchi nikumkosea heshima muumba wako ,ni kuihalifu Biblia na maandishi matakatifu!! Hata Yesu huyo anayehubiriwa na wakuu Wa dini hakuwahi kuwakashfu wakuu Wa waserikali na ndiyo maana hata Pilato alikosa kosa la kumshitaki ndipo aliposema kuwa: sijaona hatia yoyote juu ya MTU huyu!! Haya yote ni kwa sababu Yesu au Issa Bin Mariam alihubiri njili ya amani yenye kuleta toba !!

Kiongozi Wa dini kazi yake ni kuhubiri njili ya amani iletayo toba ili watu waokoke!! Hakuna mahala popote Yesu alihubiri majukwani akimlazima Pilato au herode kuwa aokoke!! Mwenye heshima MPE heshima yake!Jifunzeni kwa Yohana mbatizaji alipojaribu kumkosoa Herode!! Njili ya Yohana mbatizaji ilikatizwa kwa kuchinjwa kichwa labda mahala pengine haikuwa sahihi kumkosoa hadhalani mfalme herode!!
Ukitaka kumhubiri Mkuu Wa nchi mwalike oficine kwako aanza kumhubiri!!
Ikulu ina tovuti ramsi ,mh rais ana email address kwa nini tusitumie njia hizi kutoa ushauri kwa rais! mh rais anayajua maovu ya kila mtu lakini hakuna mahala popote amewadhalilisha wakuu Wa dini kwa sababu anajua kwa kufanya hivyo atakuwa anagombana na Mungu !! Ikiwa anawaheshimu ninyi kwa nini msimheshimu?

Kazi ya Muumini na kiongozi wadini ni kuiombea serikali ikiyoko kadarakani regardless ni nzuri au mbaya!! Kuomba tu na siyo kuropoka majukwani!! Kuropoka majukwani ni dalili ya mtu aliyefilisika kiroho Sasa Anataka kupambana kimwili!! Biblia au Quran haijatufundisha kuwakashifu ,kuwakemea ,kuwatukana ,kuwakebehi ,kuwadhakilisha viongozi wetu!!!

Sasa wewe unatumia Biblia au Quran gani? Au umetunga Biblia au Quran ya kwako!!!
Umesomea wapi theologia mpaka kuwa askofu Wa kuwatukana watu? Au umesomea kuzimu kwa shetani ambaye ni mwasi tangia asili?? Lakini kama ulisomea kuzimu au shetani ndiye kakufundisha basi utashushwa mpaka kuzimu kama shetani alivyoshushwa mpaka kuzimu baada ya kuendesha uasi mbinguni!!

Tuwavumilie viongozi wetu kama vile tuwavumiliavyo waumini wengine Wa madhehebu yetu!! Muda wao wadarakani ni miaka mitano tu wakijitahidi ni miaka kumi!! Kwani kuleta matengano wakati kazi yetu ilitakiwa kuleta mshikamano?
Kama kuambiwa ukweli tuu hataki vipi kumkosoa?? Angekuwa hataki kukosolewa si angeruhusu mikutano ya kisiasa ili wapinzani watoe mbadala katika mikwamo nchini kama uchumi sector ya afya elimu n.k !!! NB kwa nchi iliyostaarabika na yenye siasa safi hakukuwa na haja rais kuzunguka makanisani for political affiliations sasa both parties nowadays are looking for church sympathy and they divide us accordingly.njia za kistaarabu za kumkosoa rais ????MADHABAHU huwa wanaitumia kufikishia jumbe sometimes na vijembe kwa wapinzani na wananchi kwa ujumla Leo kwa akili ya kibinadamu kwa nini isiwe sawa madhabahu hiyohiyo isitumike kumuonyesha njia sahihi ya kupita? Njia gani za kishenzi zilizotumika?? Mchungaji atakosoa kwa misingi ya imani ( that's why katotoiz kasema jombaa akatubu) sijaona bado lugha isiyo ya staha iliyuotumika.
 
Nashangaaa enzi Kukwete yu madarakani alikosolewa kuliko huyu, alikashifiwa kuliko huyu, alitukanwa kuliko huyu lakini hakuwa na watetezi wengi kuliko huyu na wala hakuwahitaji.
Hivi tatizo la awamu hii ni nini yaani Rais mwenyewe na watetez wake wana matatizo gani mpaka wanatumia nguvu kiasi hiki kumtetea?
Kwanini uwe ni ujanja kumtukana na kumkejeli rais?. Yaani umtukane na kumdhalilisha kiongozi wa nchi halau ukishughulikiwa eti utetewe kwa kigezo cha uhuru wa kutoa maoni!!.
JK alipotezea matusi na maoni ya kipuuzi, huyu wa sasa hataki na hana sababu wala haoni mantiki ya kufanana na mtangulizi wake pale ikulu.
Ukijisahau ukimtukana mkuu wa nchi wakikudaka shauri yako, itabidi ukaitetee nafsi yako.
 
Kusimama majukwani tena madhabahuni kumkosoa Mkuu Wa nchi siyo njia sahihi na siyo njia ya staha kutumia!! Mkuu Wa dini anaheshimika na kila mtu hata Mungu anamheshimu sana tu!! Hivyo ukitaka kumuona Mkuu Wa nchi kwa lengo na kutaka kumhekimisha ( maana Kuhani au askofu anatakiwa awe na hekima ya kimungu ili kuwahekimisha wanadamu) sidhani kama utakataliwa pale ikulu kumuona mh rais! Kingine kulingana na katiba ya JMT mh rais halazimishwi mahala popote kufuata ushauri Wa MTU!!

Kiongozi Wa dini kuropoka hovyo juu ya Mkuu Wa nchi nikumkosea heshima muumba wako ,ni kuihalifu Biblia na maandishi matakatifu!! Hata Yesu huyo anayehubiriwa na wakuu Wa dini hakuwahi kuwakashfu wakuu Wa waserikali na ndiyo maana hata Pilato alikosa kosa la kumshitaki ndipo aliposema kuwa: sijaona hatia yoyote juu ya MTU huyu!! Haya yote ni kwa sababu Yesu au Issa Bin Mariam alihubiri njili ya amani yenye kuleta toba !!

Kiongozi Wa dini kazi yake ni kuhubiri njili ya amani iletayo toba ili watu waokoke!! Hakuna mahala popote Yesu alihubiri majukwani akimlazima Pilato au herode kuwa aokoke!! Mwenye heshima MPE heshima yake!Jifunzeni kwa Yohana mbatizaji alipojaribu kumkosoa Herode!! Njili ya Yohana mbatizaji ilikatizwa kwa kuchinjwa kichwa labda mahala pengine haikuwa sahihi kumkosoa hadhalani mfalme herode!!
Ukitaka kumhubiri Mkuu Wa nchi mwalike oficine kwako aanza kumhubiri!!
Ikulu ina tovuti ramsi ,mh rais ana email address kwa nini tusitumie njia hizi kutoa ushauri kwa rais! mh rais anayajua maovu ya kila mtu lakini hakuna mahala popote amewadhalilisha wakuu Wa dini kwa sababu anajua kwa kufanya hivyo atakuwa anagombana na Mungu !! Ikiwa anawaheshimu ninyi kwa nini msimheshimu?

Kazi ya Muumini na kiongozi wadini ni kuiombea serikali ikiyoko kadarakani regardless ni nzuri au mbaya!! Kuomba tu na siyo kuropoka majukwani!! Kuropoka majukwani ni dalili ya mtu aliyefilisika kiroho Sasa Anataka kupambana kimwili!! Biblia au Quran haijatufundisha kuwakashifu ,kuwakemea ,kuwatukana ,kuwakebehi ,kuwadhakilisha viongozi wetu!!!

Sasa wewe unatumia Biblia au Quran gani? Au umetunga Biblia au Quran ya kwako!!!
Umesomea wapi theologia mpaka kuwa askofu Wa kuwatukana watu? Au umesomea kuzimu kwa shetani ambaye ni mwasi tangia asili?? Lakini kama ulisomea kuzimu au shetani ndiye kakufundisha basi utashushwa mpaka kuzimu kama shetani alivyoshushwa mpaka kuzimu baada ya kuendesha uasi mbinguni!!

Tuwavumilie viongozi wetu kama vile tuwavumiliavyo waumini wengine Wa madhehebu yetu!! Muda wao wadarakani ni miaka mitano tu wakijitahidi ni miaka kumi!! Kwani kuleta matengano wakati kazi yetu ilitakiwa kuleta mshikamano?
Amekwambia hivyo kuwa hakatai kukosolewa au unamlisha maneno
 
Hivi ulishawahi kujiuliza ni kwa nini viongozi hawa hawa wa dini wakisifia serikali hata padipostahili hawaandamwi bali huonekana "watakatifu" kwelikweli. Pia hushawahi kujiuliza ni kwa nini no sahihi kwa wanasiasa hasa walioko madarakani wanaweza kutumia mimbari hiyo hiyo kuwasema wenzao kwa kejeli na hawaoni tatizo isipokuwa wanaposemwa wao.

Je ni sahihi kwa mwanasiasa mmoja kumsema mwenzake vibaya na hata kwa majina mabaya kwenye majukwaa lakini yeye hana nafasi hiyo na hata akiipata kwa kutumia maneno yaleyale yeye anakamatwa na kuwa mchochezi.

Mpende jirani yako kama nafsi yako na mtendee mwenzio kama unavyotaka kutendewa wewe. Huu ndio msingi wa Kristo. Na kwa hakika kinyume na unavyosema Kristo alikemea waziwazi mamlaka zilixokuwepo wakato ule pale zilipokuwa zinaenda kunyume na haki za watu. Hata agano la kale manabii walifanya hivyo hivyo.
 
Ni kweli kila taasisi itimize majukumu yake kwa kuheshimu sheria na misingi yake lakini wanasiasa nao wajue matumizi mwafaka ya majukwaa ya dini wasiongee siasa makanisani au katika majukwaa ya kanisa. Mfano utakuta kiongozi anaeleza mafanikio ya kisiasa kanisani.
 
"Ewe mtukufu malaika JPM mwenye akili nyingi na maono kuliko Mtanzania yeyote leo nakubatiza kwa jina la baba, mwana na la roho mtakatifu"
 
Kusimama majukwani tena madhabahuni kumkosoa Mkuu Wa nchi siyo njia sahihi na siyo njia ya staha kutumia!! Mkuu Wa dini anaheshimika na kila mtu hata Mungu anamheshimu sana tu!! Hivyo ukitaka kumuona Mkuu Wa nchi kwa lengo na kutaka kumhekimisha ( maana Kuhani au askofu anatakiwa awe na hekima ya kimungu ili kuwahekimisha wanadamu) sidhani kama utakataliwa pale ikulu kumuona mh rais! Kingine kulingana na katiba ya JMT mh rais halazimishwi mahala popote kufuata ushauri Wa MTU!!

Kiongozi Wa dini kuropoka hovyo juu ya Mkuu Wa nchi nikumkosea heshima muumba wako ,ni kuihalifu Biblia na maandishi matakatifu!! Hata Yesu huyo anayehubiriwa na wakuu Wa dini hakuwahi kuwakashfu wakuu Wa waserikali na ndiyo maana hata Pilato alikosa kosa la kumshitaki ndipo aliposema kuwa: sijaona hatia yoyote juu ya MTU huyu!! Haya yote ni kwa sababu Yesu au Issa Bin Mariam alihubiri njili ya amani yenye kuleta toba !!

Kiongozi Wa dini kazi yake ni kuhubiri njili ya amani iletayo toba ili watu waokoke!! Hakuna mahala popote Yesu alihubiri majukwani akimlazima Pilato au herode kuwa aokoke!! Mwenye heshima MPE heshima yake!Jifunzeni kwa Yohana mbatizaji alipojaribu kumkosoa Herode!! Njili ya Yohana mbatizaji ilikatizwa kwa kuchinjwa kichwa labda mahala pengine haikuwa sahihi kumkosoa hadhalani mfalme herode!!
Ukitaka kumhubiri Mkuu Wa nchi mwalike oficine kwako aanza kumhubiri!!
Ikulu ina tovuti ramsi ,mh rais ana email address kwa nini tusitumie njia hizi kutoa ushauri kwa rais! mh rais anayajua maovu ya kila mtu lakini hakuna mahala popote amewadhalilisha wakuu Wa dini kwa sababu anajua kwa kufanya hivyo atakuwa anagombana na Mungu !! Ikiwa anawaheshimu ninyi kwa nini msimheshimu?

Kazi ya Muumini na kiongozi wadini ni kuiombea serikali ikiyoko kadarakani regardless ni nzuri au mbaya!! Kuomba tu na siyo kuropoka majukwani!! Kuropoka majukwani ni dalili ya mtu aliyefilisika kiroho Sasa Anataka kupambana kimwili!! Biblia au Quran haijatufundisha kuwakashifu ,kuwakemea ,kuwatukana ,kuwakebehi ,kuwadhakilisha viongozi wetu!!!

Sasa wewe unatumia Biblia au Quran gani? Au umetunga Biblia au Quran ya kwako!!!
Umesomea wapi theologia mpaka kuwa askofu Wa kuwatukana watu? Au umesomea kuzimu kwa shetani ambaye ni mwasi tangia asili?? Lakini kama ulisomea kuzimu au shetani ndiye kakufundisha basi utashushwa mpaka kuzimu kama shetani alivyoshushwa mpaka kuzimu baada ya kuendesha uasi mbinguni!!

Tuwavumilie viongozi wetu kama vile tuwavumiliavyo waumini wengine Wa madhehebu yetu!! Muda wao wadarakani ni miaka mitano tu wakijitahidi ni miaka kumi!! Kwani kuleta matengano wakati kazi yetu ilitakiwa kuleta mshikamano?
Njia zinazotumika ndio hizohizo anazotumia yeye nahuyo mkuu wamkoa wahapo
 
Muulize makamba alipomshauri kwa siri jibu alilopewa ni lipi,
 
Wanataka kum-blackmail mkuu wa nchi kwa kutumia mimbari waliyonayo. Uzuri wa JPM akisimamia kwenye falsafa fulani huwezi kumbadili mawazo.

Walijaribu kupitia kwa Makonda na CV yake, wakagonga mwamba, huyu mchungaji hawezi kuwa na impact kama vyama huru vya wasomi, hawezi kuwa na ushawishi kama ule wa NGO's za Dar.
Hebu nikumbushe kidg CV ya Makonda ooops! Samahani ni Bashite nilisahau jina lake
 
Asie hekima hujibiwa bila hekima.
Huwezi iambia jamii utaishusha iishi kama mashetani halafu wewe wewe uwapangie namna ya kujibu kejeli yako kwao kiustaarabu.
 
Kusimama majukwani tena madhabahuni kumkosoa Mkuu Wa nchi siyo njia sahihi na siyo njia ya staha kutumia!! Mkuu Wa dini anaheshimika na kila mtu hata Mungu anamheshimu sana tu!! Hivyo ukitaka kumuona Mkuu Wa nchi kwa lengo na kutaka kumhekimisha ( maana Kuhani au askofu anatakiwa awe na hekima ya kimungu ili kuwahekimisha wanadamu) sidhani kama utakataliwa pale ikulu kumuona mh rais! Kingine kulingana na katiba ya JMT mh rais halazimishwi mahala popote kufuata ushauri Wa MTU!!

Kiongozi Wa dini kuropoka hovyo juu ya Mkuu Wa nchi nikumkosea heshima muumba wako ,ni kuihalifu Biblia na maandishi matakatifu!! Hata Yesu huyo anayehubiriwa na wakuu Wa dini hakuwahi kuwakashfu wakuu Wa waserikali na ndiyo maana hata Pilato alikosa kosa la kumshitaki ndipo aliposema kuwa: sijaona hatia yoyote juu ya MTU huyu!! Haya yote ni kwa sababu Yesu au Issa Bin Mariam alihubiri njili ya amani yenye kuleta toba !!

Kiongozi Wa dini kazi yake ni kuhubiri njili ya amani iletayo toba ili watu waokoke!! Hakuna mahala popote Yesu alihubiri majukwani akimlazima Pilato au herode kuwa aokoke!! Mwenye heshima MPE heshima yake!Jifunzeni kwa Yohana mbatizaji alipojaribu kumkosoa Herode!! Njili ya Yohana mbatizaji ilikatizwa kwa kuchinjwa kichwa labda mahala pengine haikuwa sahihi kumkosoa hadhalani mfalme herode!!
Ukitaka kumhubiri Mkuu Wa nchi mwalike oficine kwako aanza kumhubiri!!
Ikulu ina tovuti ramsi ,mh rais ana email address kwa nini tusitumie njia hizi kutoa ushauri kwa rais! mh rais anayajua maovu ya kila mtu lakini hakuna mahala popote amewadhalilisha wakuu Wa dini kwa sababu anajua kwa kufanya hivyo atakuwa anagombana na Mungu !! Ikiwa anawaheshimu ninyi kwa nini msimheshimu?

Kazi ya Muumini na kiongozi wadini ni kuiombea serikali ikiyoko kadarakani regardless ni nzuri au mbaya!! Kuomba tu na siyo kuropoka majukwani!! Kuropoka majukwani ni dalili ya mtu aliyefilisika kiroho Sasa Anataka kupambana kimwili!! Biblia au Quran haijatufundisha kuwakashifu ,kuwakemea ,kuwatukana ,kuwakebehi ,kuwadhakilisha viongozi wetu!!!

Sasa wewe unatumia Biblia au Quran gani? Au umetunga Biblia au Quran ya kwako!!!
Umesomea wapi theologia mpaka kuwa askofu Wa kuwatukana watu? Au umesomea kuzimu kwa shetani ambaye ni mwasi tangia asili?? Lakini kama ulisomea kuzimu au shetani ndiye kakufundisha basi utashushwa mpaka kuzimu kama shetani alivyoshushwa mpaka kuzimu baada ya kuendesha uasi mbinguni!!

Tuwavumilie viongozi wetu kama vile tuwavumiliavyo waumini wengine Wa madhehebu yetu!! Muda wao wadarakani ni miaka mitano tu wakijitahidi ni miaka kumi!! Kwani kuleta matengano wakati kazi yetu ilitakiwa kuleta mshikamano?
We jamaa hovyo zaidi ya uhovyo wenyewe,eti Yesu hakuwahi kuwakemea viongozi wa serikali,
Inabidi tukuhurumie tu maana unatumika
Na utavuna mtumiko,maana unajaribu kuaminisha watu uongo juu ya Yesu,soma uone alivyowashambulia Mara kwa Mara,ulivyo hovyo utanambia leta kifungu,haya sema leta
 
kumsifia mnasema hadharani ila kukosolewa mnataka akosolewe gizani
nyie watu mnatupa shida sana kuwaelewa
 
Back
Top Bottom