Rais Dr. John Pombe Magufuli na mwendelezo wa kutokuhudhuria vikao vya Kimataifa nje ya nchi

Mkuu kwenda kule ktk vile vikao ajipange....
Kule haendi kuropoka ropoka kma anavyopokaga hapa bongo na notebook yake ya Tshs.300/=
Huku akiongea anarusha rusha mikono KAma anapiga mbizi....kule ni madokta OG sio udokta wake wa kuungaunga...
Mbabaishaji tu yule hana lolote mzugaji
 
Mimi naamini Magufuli anaamini kuna watu wanataka Urais wake ndo maana hathubutu kusafiri nje ya nchi...Imagine tu marais wenzake wote wako UN kwenye kikao kikubwa tu cha security council lkn jamaa kwa mara nyingine kaingia mitini...ANAOGOPA NINI? Kwamba akisafiri anaweza kukuta mtu mwingine kakalia kiti chake ama? Take a jet Sir hakuna mtu atafanya hayo unayoyahofia!
"Mimi ndiye rais "by magufuli.
 
Mkuu kwenda kule ktk vile vikao ajipange....
Kule haendi kuropoka ropoka kma anavyopokaga hapa bongo na notebook yake ya Tshs.300/=
Huku akiongea anarusha rusha mikono KAma anapiga mbizi....kule ni madokta OG sio udokta wake wa kuungaunga...
Mbabaishaji tu yule hana lolote mzugaji
Nimecheka sana
 
Mwakilishi anaenda kama wewe na mimi tunavyoenda.So cheap. Kuna marais wanaenda na magari hata 20 na kuendelea. Na wasaidizi lukuki. Nani analipia hizo gharama? Hivi hili bara linanufaikaje na vikao vyao? So sad....
Ndezi sana wewe ubongo wa kuku... Rais gani mwafrika anabeba gari Afrika kwenda nayo US kwa msafara wake? Unaugua kifaduro si bure
 
Daaaaa mkuu hawa ndezi niliwakuta Morogoro, umenikumbusha mbali wanavyotoka sperd. Nimecheka sana mbavu sina.
 
Wakati kuombea mtu inapodhaniwa kuwa ni uchochezi. Dhana ni kuwa unamchochea Mungu dhidi ya mtu fulani!
 
Mimi naamini Magufuli anaamini kuna watu wanataka Urais wake ndo maana hathubutu kusafiri nje ya nchi...Imagine tu marais wenzake wote wako UN kwenye kikao kikubwa tu cha security council lkn jamaa kwa mara nyingine kaingia mitini...ANAOGOPA NINI? Kwamba akisafiri anaweza kukuta mtu mwingine kakalia kiti chake ama? Take a jet Sir hakuna mtu atafanya hayo unayoyahofia!
Hujakosea

Ova
 
Back
Top Bottom