kilama
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 2,654
- 1,765
yap take that responsibility mkuu ndio undugu wenyewe huo!!!,
Mimi mkuu wananihemu kaba baba yao .na nimeamua wakae baada ya kaka yao kunieleza hali halisi na mama yao mdogo. Kweli sitangazi lakini watoto wale wanamlaumu sana Ngosha. Wanamlilia sana mama yao. Baba yao aliwaacha anziia 2013 na wanasema ana mke mwingine. History ni ndefu mungu atawasidia tu. Wakiamua kuondoka sawa sintawafukuza na nikiwa nitawaangalia kama watoto wangu.