Checheto
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 915
- 744
Wanatusaidia Lisu atokeUfanisi wapi,kuchukua madini ya Ukraine na kuwatafutia walowezi wa South Africa makazi USA.
Ujinga mtupu.
Wanatusaidia Lisu atokeUfanisi wapi,kuchukua madini ya Ukraine na kuwatafutia walowezi wa South Africa makazi USA.
Ujinga mtupu.
tanzania yangu form 4 failures ndo viongozi wetu. hoja awana, akili awana. ni uchawa tu.
mbele great minds wanazilinda kwenye decision making. bongo mtu hata physics ajawai soma ni kiongozi.
kama una amini ambao amna elimu mna nafasi dunia ya sasa. wewe kichaa... kiongozi wako form 4 failure angalia ya ayo mkuta. sisi ndo tunakuja hii generation ya wajinga wajinga ndo inapotea. we coming for the neck na huu ndo uchaguzi wa wajinga wa mwisho. 2030. vita ni kubwa sana.Sasa kama wewe mwenye elimu unakesha kulalama hauchukui hatua za kupigania uongozi na kuibadilisha nchi kwanini sisi tusio na elimu ila tunauthubutu tusiendelee kuwaburuta.
Sio siasa tu hata muziki angalia waliopiga hatua wengi kina Konde na Diamond elimu za form 2s
Dakika chache zilizopita, Rais Donald Trump kaongea na waandishi wa habari ofisini kwake katika hafla ya kumuaga Elon Musk, ambaye amenaliza muda wake kama ‘Special Government Employee’.
Kinyume na narrative ya baadhi ya watu kuwa Trump na Musk wamemwagana [whatever that means], Musk kamaliza muda wake uliowekwa kisheria kuhusu hiyo nafasi na leo kaagwa rasmi na kupewa ufunguo wa heshima kwa White House [an honorary key to the White House].
Hiyo ni heshima ambayo ni nadra sana kutolewa.
Mtu aliyefukuzwa anapewa ufunguo wa heshima 🤣.
Acheni uzushi.
View: https://youtu.be/KXzN8QFJmT4?si=iYfpzGpjLO3bKPQW
wameanza kutafutana uchawi, nasikia ni vijembe kwa kwenda mbele, nitauficha wapi uso wangu Nyani Ngabu miye?Ushirika wa wachawi haudumu
ULISEMA?Kazi aliyopewa Bwana Elon Musk ameifanya na kuikamilisha na muda wa Mkataba wake umeisha.
Najua kutokana na umuhimu wake, huenda akapewa kazi nyingine hapo baadaye
Nasi Tanzania tungeweza, tungem-hire atusaidie kuongeza ufanisi Serikalini
Dakika chache zilizopita, Rais Donald Trump kaongea na waandishi wa habari ofisini kwake katika hafla ya kumuaga Elon Musk, ambaye amenaliza muda wake kama ‘Special Government Employee’.
Kinyume na narrative ya baadhi ya watu kuwa Trump na Musk wamemwagana [whatever that means], Musk kamaliza muda wake uliowekwa kisheria kuhusu hiyo nafasi na leo kaagwa rasmi na kupewa ufunguo wa heshima kwa White House [an honorary key to the White House].
Hiyo ni heshima ambayo ni nadra sana kutolewa.
Mtu aliyefukuzwa anapewa ufunguo wa heshima 🤣.
Acheni uzushi.
View: https://youtu.be/KXzN8QFJmT4?si=iYfpzGpjLO3bKPQW
Mnakuja wapi nchi imekamatwa na darasa la 7 na 12 mkuu.kama una amini ambao amna elimu mna nafasi dunia ya sasa. wewe kichaa... kiongozi wako form 4 failure angalia ya ayo mkuta. sisi ndo tunakuja hii generation ya wajinga wajinga ndo inapotea. we coming for the neck na huu ndo uchaguzi wa wajinga wa mwisho. 2030. vita ni kubwa sana.
mama yenu ndo anakiua chama chenu
Kwani imeenda tofauti na nilichokieleza?😜ULISEMA?
Thubutu! Huyo MuskKazi aliyopewa Bwana Elon Musk ameifanya na kuikamilisha na muda wa Mkataba wake umeisha.
Najua kutokana na umuhimu wake, huenda akapewa kazi nyingine hapo baadaye
Nasi Tanzania tungeweza, tungem-hire atusaidie kuongeza ufanisi Serikalini 😜
Useme huku kwetu kutendewa mambo meusi ukiwazibia watu Ulaji ni jambo la dakika 1 tuThubutu! Huyo Musk
atatekwa, atanyanyaswa, atauliwa!
Chukuwachakomapema wanavyooenda ufisadi, ubinafsi, roho mbaya i?!
Haiwezekani hata kama mwenyezi Mungu apende!
You just said it!Useme huku kwetu kutendewa mambo meusi ukiwazibia watu Ulaji ni jambo la dakika 1 tu
Ndiyo maana walipoona CAG ana bweka sana kuhusu ufisadi wao, wakaamua kumng'oa meno pamoja na Bunge lote
Hakuna kujadili mambo ya Ukwapuaji, ndiyo maana hakuna ripoti ya CAG inajadiliwa nowadays
Tumeamua kutengeneza kizazi cha Viongozi wezi/wapenda rushwa na ubadhirifu huku wakitengeneza Vijana lukuki wa kuwapamba humu mitandaoni kwaajili ya kuwafanya waendelee kula Keki ya Taifa huku wakiliingiza Taifa letu katika hali mbaya ya Uchumi tukizongwa na Deni kubwa la Taifa.You just said it!
Lazima mambo yabadilike!
Hatuwezi kuendelea hivi. Mind you, some of us, huwezi kuendelea au kufanikiwa kitu unless una kadi ya umoja wa vijana, chipukizi, whatever whatever whatever, the world has moved on, the new generation want more, maybe openess, more accountability, may be more freedom of speech, unless you're a crook, why not let them have their way, ACCORDING TO THE RULES OF THE GOVERNMENT?! And if those rules are not fair and square, let the nation discuss and find the way, may be through referendums and such. Labda nasi lugha yasumbuwa, wapelekee kwa kiswahili, unaekataa huishi milele, watakuhukumu hata kama uko kaburini na siajabu kuhukumu kizazi chako!
Mdau the situation is worse and worse!Tumeamua kutengeneza kizazi cha Viongozi wezi/wapenda rushwa na ubadhirifu huku wakitengeneza Vijana lukuki wa kuwapamba humu mitandaoni kwaajili ya kuwafanya waendelee kula Keki ya Taifa huku wakiliingiza Taifa letu katika hali mbaya ya Uchumi tukizongwa na Deni kubwa la Taifa.
Kusema kweli, Rais atakayeingia 2030/35/40 atakutana na deni la zaidi ya Trillioni 200 huku fedha nyingi zikitumika kifisadi
Hakuna accountability at all kwenye hii Nchi
Changamoto kubwa ni Katiba tuliyonayo ambayo imemfanya Rais wa Nchi kuwa the last say kwenye jambo loloteMdau the situation is worse and worse!
Ukisema issue shida, ukikaa kimya unajisikia vibaya moyoni, waogopa kupata shida wewe na familia, sasa hawa majemedari wanaodiriki kusema na kukemea lazima tuwape support kwa design yetu, hatuwezi kuipeleka TZ kwa mtindo huu kimaendeleo, siyo kikomunisti labda kishoshalasti, lakini tuliowachaguwa lazima wawe accountable, huwezi fanya madudu na kuiibia serikali kwa kodi ya raia, hasa walalahoi na kujenga mahekalu na familia yako kuwa matajiri huku watu milo 3 tu shida, bado matibabu, bado elimu, bado ustawi wa jamii, bado miundombinu, bado.....
Wakubali, hasa wahusika, raia waona yaliyo nchi zilizoendelea, hawataki kuhadithiwa, wanajuwa wanazo rasilimali na maliasili, raia wa sasa hata awe kijijini, amefunguka kichwa, yale mambo ya blah blah yamepitwa na wakati.. Wanataka kuona, kama Thomaso in the bible for the those who believe in that.
Mdau they have to be careful, wise, humble, wasiwe waoga kukubali wamekosea, mbona raia, hasa wa this beautiful, blessed bongo will understand!
Repress people, on own peril, like a pressure cooker, once opened, really hell will....