granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 4,859
- 11,326
kabisaKwani imeenda tofauti na nilichokieleza?
kabisaKwani imeenda tofauti na nilichokieleza?
Bless broChangamoto kubwa ni Katiba tuliyonayo ambayo imemfanya Rais wa Nchi kuwa the last say kwenye jambo lolote
Kwahiyo ukipata Rais asiyependa rushwa/Wizi/Ufisadi basi lazima Vyombo vyetu navyo vitakuwa busy kudhibiti hayo
Kinyume chake, ndiyo mnaona Viongozi wa Umma anamiliki timu za Mpira anamiliki mahekalu, Ardhi kubwa kama Mkoa wa Iringa n.k
Ukiwa na Katiba ambayo ukifanya makosa hata kama utakuwa Waziri Mkuu unawajibishwa basi hii Nchi ingepiga hatua kubwa za maendeleo
Shukrani 🙏🙏Bless bro