Muungano na ka mkoa kamoja kumefanya tanganyika kuwa duni sana. Katiba mpya ilikuwa mwarobaini kabisa.Hata juzi Dodoma bara 50/50 na visiwani wamepiga makofi.
Kweli bara tumelogwa
Zimesaidia Sana unless unasumbuliwa na chuki.Nonsense, hizo tuzo zake zinasaidia vipi kutatua changamoto za Watanzania?. Oneni aibu nanyi, kutwa kucha kusifia upuuzi mnaliangamiza taifa.
Watanzania wana hasira, yani sio wa mjini wala wavijijini. Hawaamini wanavyosikia na kuona.Walishajua madhaifu ya Bibi tozo
Watanzania ni mazuzu hizo hasira wangezitumia kuwaondoa viongozi wa hovyo na chama chao!!.Watanzania wana hasira, yani sio wa mjini wala wavijijini. Hawaamini wanavyosikia na kuona.
Huyu rais wako atepewa tuzo zitajaa makontena,kwa sababu nchi inaporwa kirahisi sana,hana tofauti na Zelensky anavyoimaliza Ukraine,kaishia kuitwa aperson of the year,kwa kusaidia biashara ya siraha,endelea kupiga makofi khanithi weweRais wa JMT Dkt Samia ameshinda tuzo ya ku promote utalii iliyotolewa nchini India.
Waandaaji wa tuzo hiyo wametambua mchano wake wa kuugangaza utalii wa Tanzania kupitia filamu maafufi ya The Royal Tour.
Hongera sana Rias maana hii inakuwa ni tuzo ya 5 ndani ya miaka 2.
=======
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amepewa tuzo ya Kimataifa ijulikanayo kama International Iconic Awards iliyotolewa na Taasisi ya International Iconic Awards ya India kwa kutambua mchango wake katika kuasisi na kushiriki kwa umahiri mkubwa katika filamu ya Tanzania: The Royal Tour, ambayo imekua na matokeo chanya kwa jamii inayomzunguka.
Tuzo hiyo imekabidhiwa leo jijini Dodoma na Uongozi wa Miss Jungle International na Bega kwa Bega na Mama (BBMF) kwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana ili aweze kuifikisha kwa Rais.
Akipokea tuzo hizo, waziri amesema Rais ametoa mchango mkubwa katika kuinua sekta ya utalii nchini hasa baada ya athari kubwa ya janga la UVIKO 19, akiongeza kuwa filamu ya Tanzania: The Royal Tour imesaidia kutangaza vivutio vya utalii na kuvutia watalii wengi nchini.
“Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa natoa pongezi kwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutunukiwa tuzo hii ya kimataifa, natoa shukran za dhati kwa Taasisi ya International Iconic Awards ya India, nchi ambayo ni maarufu katika soko la kimataifa la filamu duniani kwa kutoa tuzo hiyo kwa Mhe. Rais ambapo kwetu ni chachu ya kuongeza kasi zaidi ya utekelezaji wa Programu ya Tanzania: The Royal Tour,” amesema.
Aidha, Waziri Chana ametoa wito kwa wadau wa utalii kundelea kutekeleza kwa vitendo malengo ya Tanzania: The Royal Tour ili kuweza kufikia azma iliyokusudiwa katika kukuza na kuendeleza sekta ya utalii nchini na kushukuru Miss Jungle International ambao walipokea tuzo husika na kuja kuikabidhi kwa Rais.
Swahilitimes
Wivu .Huyu rais wako atepewa tuzo zitajaa makontena,kwa sababu nchi inaporwa kirahisi sana,hana tofauti na Zelensky anavyoimaliza Ukraine,kaishia kuitwa aperson of the year,kwa kusaidia biashara ya siraha,endelea kupiga makofi khanithi wewe
Rais Samia Suluhu amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kutangaza sekta ya utalii anastahili tuzo nyingi zaidiRais wa JMT Dkt Samia ameshinda tuzo ya ku promote utalii iliyotolewa nchini India.
Waandaaji wa tuzo hiyo wametambua mchano wake wa kuugangaza utalii wa Tanzania kupitia filamu maafufi ya The Royal Tour.
Hongera sana Rias maana hii inakuwa ni tuzo ya 5 ndani ya miaka 2.
=======
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amepewa tuzo ya Kimataifa ijulikanayo kama International Iconic Awards iliyotolewa na Taasisi ya International Iconic Awards ya India kwa kutambua mchango wake katika kuasisi na kushiriki kwa umahiri mkubwa katika filamu ya Tanzania: The Royal Tour, ambayo imekua na matokeo chanya kwa jamii inayomzunguka.
Tuzo hiyo imekabidhiwa leo jijini Dodoma na Uongozi wa Miss Jungle International na Bega kwa Bega na Mama (BBMF) kwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana ili aweze kuifikisha kwa Rais.
Akipokea tuzo hizo, waziri amesema Rais ametoa mchango mkubwa katika kuinua sekta ya utalii nchini hasa baada ya athari kubwa ya janga la UVIKO 19, akiongeza kuwa filamu ya Tanzania: The Royal Tour imesaidia kutangaza vivutio vya utalii na kuvutia watalii wengi nchini.
“Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa natoa pongezi kwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutunukiwa tuzo hii ya kimataifa, natoa shukran za dhati kwa Taasisi ya International Iconic Awards ya India, nchi ambayo ni maarufu katika soko la kimataifa la filamu duniani kwa kutoa tuzo hiyo kwa Mhe. Rais ambapo kwetu ni chachu ya kuongeza kasi zaidi ya utekelezaji wa Programu ya Tanzania: The Royal Tour,” amesema.
Aidha, Waziri Chana ametoa wito kwa wadau wa utalii kundelea kutekeleza kwa vitendo malengo ya Tanzania: The Royal Tour ili kuweza kufikia azma iliyokusudiwa katika kukuza na kuendeleza sekta ya utalii nchini na kushukuru Miss Jungle International ambao walipokea tuzo husika na kuja kuikabidhi kwa Rais.
Swahilitimes
Umeona nchi gani imeporwa kwa kupewa tuzo acha story za vijiweni nduguHuyu rais wako atepewa tuzo zitajaa makontena,kwa sababu nchi inaporwa kirahisi sana,hana tofauti na Zelensky anavyoimaliza Ukraine,kaishia kuitwa aperson of the year,kwa kusaidia biashara ya siraha,endelea kupiga makofi khanithi wewe
Hao Ni haters Ni wapumbavu achana naoUmeona nchi gani imeporwa kwa kupewa tuzo acha story za vijiweni ndugu