Rais Dkt. Magufuli awasili mkoani Dodoma

Huyu Mzee yuko serious jaman duhh! yan ndege yake ile ipo anaamua kutembea na lami tu, safar ya saa moja na dk kadhaa, anapiga kwa masaa yasiopungua sita. Tusidanganyane watanzania wengi ss ni wazee wa bata, watu wachache sana wataacha ndege wachukue huo uamuzi. Hata kama ni hapa kaz tu hii imezid.
 
Ndiyo lakini ujue ana weka misingi ambayo inaonyesha anabana matumizi kwa kila hali. Sasa tuone waziri au mtu yoyote atakaye safari kwa helicopter kama wakina Lazaro Nyalandu walivyo kuwa wanafanya.
 
Unadhan kila mtu anapenda kupanda ndege!!?;wengine hawana hobi!!;pia anataka kujua matatizo ya wanyonge!!
 
Nafikiri hii sio kweli kwani Yule mwingine nafikiri angekuwa anaziogopa hata akiziona kwa jinsi alivyosafiri nazo mara nyingi.
Naomba Mwongozo tu: Hivi Ukisafiri SANA kwa ndege unakuwa na WOGA wa kuwa angani?
 
Denis Beckmp mchezaji wa zaman asernal hakuwahi panda ndege!!;upo hapo!!?
 
Ndiyo lakini ujue ana weka misingi ambayo inaonyesha anabana matumizi kwa kila hali. Sasa tuone waziri au mtu yoyote atakaye safari kwa helicopter kama wakina Lazaro Nyalandu walivyo kuwa wanafanya.
Hapa kweli atawabana wazee wa bata, kuna wakubwa flani na ma vx yao walikuwa ishu za dodoma ilikuwa lazima wavizie ndege ya pinda kipindi hicho, halaf magari yanawafata matupu, hii nchi ngumu sana. Kutoka sio leo wala kesho, sema tu yy aweke misingi.
 
Wacha mukulu akajionee kontua na kreta za kwenye katika Chalinze
 
Huyu Mzee yuko serious jaman duhh! yan ndege yake ile ipo anaamua kutembea na lami tu, safar ya saa moja na dk kadhaa, anapiga kwa masaa yasiopungua sita. Tusidanganyane watanzania wengi ss ni wazee wa bata, watu wachache sana wataacha ndege wachukue huo uamuzi. Hata kama ni hapa kaz tu hii imezid.
Anahofu sana kupanda ndege, tangu apate ajali ua chopa, hana hamu kabisa!
 
Back
Top Bottom