Kwani Dodoma kuna ndege inatua hapa ?Jemadari wa vita dhidi ya Mafisadi raisi wangu mpendwa John Pombe Magufuli asafili tena kwa gari kuelekea DODOMA.
Kwani Dodoma kuna ndege inatua hapa ?Jemadari wa vita dhidi ya Mafisadi raisi wangu mpendwa John Pombe Magufuli asafili tena kwa gari kuelekea DODOMA.
Kwa nini Serikali haihamii Dodoma?Jemadari wa vita dhidi ya Mafisadi raisi wangu mpendwa John Pombe Magufuli asafili tena kwa gari kuelekea DODOMA.
Sio lazima waamie Dom, huo ulikuwa mtazamo wake, naye Ana haki ya kuamua kuamia au kutokuamia hawezi lazimishwa. Kuna vitu vingi tuu serikali ilidhamiria na havitekelezekiKwa nini Serikali haihamii Dodoma?
Lini watahamishia makao makuu huko?
Tanzania kwa usanii ndio yenyewe.
Magu anatakiwa aweke wazi lini wizara zitaanza kuhamia Dodoma. Nyerere alikusanya (alitunyang'anya) pesa nyingi tu ili kujenga Dodoma huku akiahidi Serikali itahamia Dodoma.
HapanaNdiyo kusema anakwenda kukabidhiwa uenyekiti nini?
Kupanda ndege sio bata.. Ndege ni karaha kama hujawahi kuipanda...Huyu Mzee yuko serious jaman duhh! yan ndege yake ile ipo anaamua kutembea na lami tu, safar ya saa moja na dk kadhaa, anapiga kwa masaa yasiopungua sita. Tusidanganyane watanzania wengi ss ni wazee wa bata, watu wachache sana wataacha ndege wachukue huo uamuzi. Hata kama ni hapa kaz tu hii imezid.
In Joti's voice! hahahaNdio nani?
Mtetezi? vp kuhusu mv dar..nyumba za serikali...ujenzi wa bara bara chini ya kiwango.....khaa
Wenye wivu wajinyonge, Hapa Kazi Tu.Msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ukielekea Dodoma kutokea mjini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU(P.T)
![]()
Kama kusema ukweli ndo umbea basi hata mkulu atakuwa mmbea.Mtoto wa kiume haipendezi kuwa mdaku!
Utasikia Lowassa amerudi Dar au Arusha. Maana giza na nuru havichangamani.
Dar anaoneka anapoita waandishi wa habari hata misiba ameacha. Alikuwa mtu wa watu nini kimemsibu huyu baba.
Kweli huo msafara gharama yake ni cheap kuliko ndege?Jemadari wa vita dhidi ya Mafisadi raisi wangu mpendwa John Pombe Magufuli asafili tena kwa gari kuelekea DODOMA.
Rais wa kwanza wa Kenya Mzee Jomo Kenyata 1963 - 1977 alikuwa anasafiri kwa gari au treni tu.Jemadari wa vita dhidi ya Mafisadi raisi wangu mpendwa John Pombe Magufuli asafili tena kwa gari kuelekea DODOMA.
KUMBE [[JE huko chama cha zamani atakuwa anapewa PESA ama kweli we basi tulowasa