Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,315
- 7,113
Walisema eti alijikwaa mguu! Ndo anauguza mguu eti! Hata hivyo miaka zaidi ya 70 siyo haba!!Mwanzoni si walibisha kuwa haumwi?
Walisema eti alijikwaa mguu! Ndo anauguza mguu eti! Hata hivyo miaka zaidi ya 70 siyo haba!!Mwanzoni si walibisha kuwa haumwi?
Ile kitu aloumwa JK (wakaiwahi),ila ya mzee 6 imefikia pabaya....Mola ampe rehemaPole zake Mzee Sitta.....sijui nini kinamsumbua, maana kweli hata muonekano ni kama amedhoofu HV, namuombea Afya njema.