Rais Dk Magufuli aahidi kumnunulia mlemavu bajaji

Rais Dk Magufuli aahidi kumnunulia mlemavu bajaji

Magufuli ni chaguo la Mungu.
Wenye roho za husda wameshindwa kabisa.
Allah aendelee kumpa nguvu kwa miaka 9 na miezi minne aliyo bakisha hadi atakapo mpa kijiti mwana CCM mwingine.

Mungu ibariki Tanzania.
Mungu Mbariki Rais JPM.
Mungu ibariki CCM.
Ikibido atawale tu miaka 20
 
Yule mgonjwa wake wa Muhimbili aliishia wapi?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] Hahaha labda ali r.i.p. ama baada ya camera kuondoka mbele yake amesahaulika kama kesi za epa ,dowans.... Na uwezo wa kumfikia mtukufu hana ,anasota tuu[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
hii ndio hasara ya kuingia jf wakati umesha vuta shisha.
[emoji13] [emoji780] [emoji780] [emoji780] [emoji13] [emoji780] [emoji780] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Haaaaaa huyu mlemavu nilimuona Ijumaa ya wiki iliyopita maeneo ya ubungo.
Hakika alikuwa kivutio cha wengi namna anavyoendesha baiskeli yake.
Nilimona nami ubungo wakasema anamiliki daladala 2 na alikuwa konda zamani
 
Uchumi wa nchi umevurugwa! Bandari sasa imekuwa sehemu ya vijana kwenda kuogelea kila weekend hakuna meli wala mizigo!! Na bado maamuzi ya mwendo kasi!! Watafunga ile Bandari meli moja kwa week!!!
Ni baada ya kuangalia taarifa ya habari ya TBC iliyo muonyesha mlemavu huyo akitumia baiskeli ya kawaida na kuhatarisha maisha yake.View attachment 382776
mheshimiwa raisi ameahidi kumsaidia mlemavu huyo bajaji ndani ya wiki moja kutoka katika msahara wake
 
Asee bora maana huyu mmasai nampata sana niliwahi kukutana nae posta na hiyo bike yake!!ila maskani yake hua nikipita pande za ubungo kila mara namwonaga!!
 
Magufuli ni mtoto wa masikini ndio maana ana huruma na kama swala la bandari kukosa mizigo hata utawala wa nyerere kulikua hakuna mizigo na tuli ishi tulikua tuna vaa kaputura saba lakini matako yanaonekana magufuli kaza buti mpaka turudi hapo hapo tulipo toka tuna hamu na utawala wa nyerere
 
Kwani mlemavu yuko mmoja jamani? Kwanza si wana wizara yao tena nadhani ina manaibu Waziri wawili kama sikosei! Hapa ni mfumo wa kuwawezesha ndio unaohitajika!! Ukiona mtu anafanya mambo ya Ajabu ujue upeo wa akili yake umefikia ukomo! Hii nchi ni kiki kiki tu zinatafutwa maendeleo ni baadae.
 
Magufuli ni mtoto wa masikini ndio maana ana huruma na kama swala la bandari kukosa mizigo hata utawala wa nyerere kulikua hakuna mizigo na tuli ishi tulikua tuna vaa kaputura saba lakini matako yanaonekana magufuli kaza buti mpaka turudi hapo hapo tulipo toka tuna hamu na utawala wa nyerere
Ng'ombe wewe
 
Sifa alifanya yule fisadi Lowasa kumuhonga mshenga Ngwajima mabillioni akawahonge wachungaji wa Anglican na wakatoliki.
Juu unasema huyu jamaa wa Chatle in chaguo LA Mungu.

Hapa unasema watumishi was Mungu waliongwa

Ni Mungu yupi unaemsemasema?
 
Sifa alifanya yule fisadi Lowasa kumuhonga mshenga Ngwajima mabillioni akawahonge wachungaji wa Anglican na wakatoliki.

wamepiga ikulu nini mzee jaribu kuzoea mazingira sio kila mmoja ataunga mkono mazur ya jpm mawazo tofaut fisadi lowasa inafaa tarehe 1/9/2016 kesi yake ianze kila kitu kipo.
 
Haaaaaa huyu mlemavu nilimuona Ijumaa ya wiki iliyopita maeneo ya ubungo.
Hakika alikuwa kivutio cha wengi namna anavyoendesha baiskeli yake.
NAKAA NAYE MTAA MMOJA MAGOMENI HALAFU SIYO OMBAOMBA
 
Inawezekana ni machachari sana
Jaribu kufikiria hili mkuu,nauli atakusanya vipi?
Kwa purukushani za Dsm hii ni ngumu kiukweli.
Anyways...
Asubuhi njema.
 
NAKAA NAYE MTAA MMOJA MAGOMENI HALAFU SIYO OMBAOMBA
Makubwaaaaaa!
Magomeni ipi mkuu?
Hebu tuondolee utata...nasikia aliwahi kuwa konda eti[emoji12]
Na anamiliki daladala 2!
 
Huyu rais au nabiii mpaka ananunua baiskeli ya mlemavu tena mmoja kwenye mshahara wake?Mh rais kumaliza huyo njoo huku kwetu nanjirinji kuna walemavu wengi NJOO ITAZOA SIFA MPAKA UNENEPE
 
Makubwaaaaaa!
Magomeni ipi mkuu?
Hebu tuondolee utata...nasikia aliwahi kuwa konda eti[emoji12]
Na anamiliki daladala 2!
ni mmasai,amekaa sana magomeni friends corner na hajawai kuwa konda huyu anapga mishe mishe zake mwenge za kuuza chenji kwenye madaladala
 
Haaaaaa huyu mlemavu nilimuona Ijumaa ya wiki iliyopita maeneo ya ubungo.
Hakika alikuwa kivutio cha wengi namna anavyoendesha baiskeli yake.
Yàani watu walivutiwa badala ya kumuhurumia?
 
Back
Top Bottom