Rais Dk Magufuli aahidi kumnunulia mlemavu bajaji

Rais Dk Magufuli aahidi kumnunulia mlemavu bajaji

Mnaongea sana wakati hamna lolote!Mnajifanya mnajua kila kitu na kichama chenu uchwara.Kwa taarifa yako hata Durban(South Africa)tatizo hilo la upungufu wa mizigo limewakumba.DG kaelezea vizuri kuhusu hilo tatizo lkn wanywa viroba mnajitahidi kweli kuupotosha umma kwamba hilo ni tatizo la ki-siasa ilhali sivyo.Kwa akili zenu CCM itawatawala milele.
Unafahamu sababu za Durban kuwa na upungufu wa mizigo? Msipende kujitoa kushangilia hata mambo yenye athari hata kwenu wenyewe!
 
Mnaongea sana wakati hamna lolote!Mnajifanya mnajua kila kitu na kichama chenu uchwara.Kwa taarifa yako hata Durban(South Africa)tatizo hilo la upungufu wa mizigo limewakumba.DG kaelezea vizuri kuhusu hilo tatizo lkn wanywa viroba mnajitahidi kweli kuupotosha umma kwamba hilo ni tatizo la ki-siasa ilhali sivyo.Kwa akili zenu CCM itawatawala milele.
CCM uchwara full of V1laza
 
Durban............
 
Nikiwa sebuleni leo hii nikitizama taarifa ya habari TBC1 iliwekwa habari ya kijana Anthony ambaye ni mlemavu wa miguu lakini anafanya shughuli zake kama kawaida na kikubwa anatumia baiskeli ya matairi mawili. Yaweza kuwa kama ndoto lakini anafanya hvyo ili kujitafutia riziki kwani ana familia ya mke na watoto wawili.

Alipohojiwa alisema kwamba kwa miaka nane sasa amekuwa akijituma kutafuta riziki bila kuchoka wala kukatishwa tamaa kwa sababu ya ulemavu wake. Pia aliomba msaada wa kupata BAJAJ toka kwa Rais Magufuli kwani hachukulii ulemavu wake kama kikwazo bali fursa.

Baada ya muda kidogo ukasomwa ujumbe na mtangazaji Gabriel Zakaria na kusema kwamba Rais Magufuli ameridhia ombi hilo na ndani ya wiki moja atapatiwa BAJAJ hiyo na itatokana na mshahara wake.

Kwa maoni yangu, Tanzania tumepata RAIS ambaye anatambua shida za wananchi, anakuwa mstari wa mbele katika kusaidia wanyonge (alimsaidia pia kwa kutoa mil.5 binti kipepeo benedicta wa chuo kikuu mzumbe) lakini yote hii ni kupitia vyombo vya habari. Pongezi Mh. Rais kwa kuonesha kuwa ukarimu wako na roho yako nzuri ni kwa ajili ya kila mtanzania hasa asiyejiweza lakini anajituma katika kufanya kazi.

Rai yangu, vyombo vya habari vikitumika ipasavyo, vitaleta tija kwa taifa na kudumisha umoja wetu bila kutengeneza matabaka.

[emoji767]Soli ya Kiatu
 
Atawanunulia wangapi ?..Weka mfumo mzuri kwa makundi yenye mahitaji maalum ..

Haya mengine ni sifa tu za kwenye vyombo vya habari na kutaka kuonekana wa aina flan ktk jamii..
U said all. Weny mahitaj ni wng kw kwl angetafut njia mbadal ht yakuwapatia fursa zinazowez kuwanufaish kila mmoja kw kipaji chake.
 
Kwa hili Rais wangu Mungu aendelee kukubariki.Wewe ni Rais mwenye huruma kwa watu unaowaongoza.Mungu aendelee kukupa moyo huu.Tulikuwa tunasubiri toka Mungu kiongozi wa aina yako.Wanamaombi Mungu hakika amesikia kilio chetu na sasa ametufuta machozi.Mwenye haki hatomwacha kamwe.Mungu ibariki Tanzania.Mungu mbariki Rais wetu.
 
Mh mwenzio uliyemchagua anaahidi kujenga ghorofa kwa Bakwata wewe unaahidi bajaji? Au hii inakuwaje?
 
Ni Tz tu hushabikia ubaya na kushuka mapato ama mzingo bandarini bila kujuwa tumeibiwa sana na hao wajinga wanao watetea kweli tz tuna shida sana ya akili zetu du!
 
Ni baada ya kuangalia taarifa ya habari ya TBC iliyo muonyesha mlemavu huyo akitumia baiskeli ya kawaida na kuhatarisha maisha yake.View attachment 382776
mheshimiwa raisi ameahidi kumsaidia mlemavu huyo bajaji ndani ya wiki moja kutoka katika msahara wake
Kama rais ilibidi aseme yupo tayari kuwa nunulia walemavu bajaji sababu huyo mlemavu anawakilisha wengi
 
Hold on! Kuna walemavu wangapi hapa tz! Kwa nini umchague mmoja uache wengine! Mnacheza na vyombo vya habari Ku please watu, ni kitu simple sana tupeni idadi ya walemavu wote tz then muwape au muwakopeshe bajaj siyo unamchagua mmoja, ww siyo presidaa wa mmoja ni presidaa wa wote! Acheni sorting fanyeni kitu cha system cha kuwasaidia walemavu wote. Mbona mnajenga chato airport! ( how much is that compared to bajaj za vilema) mwengine kajitolea kutafuta 5 billions kujenga headquarters! Acheni sifa za short term wekeni long term solutions
 
Kwani mlemavu yuko mmoja jamani? Kwanza si wana wizara yao tena nadhani ina manaibu Waziri wawili kama sikosei! Hapa ni mfumo wa kuwawezesha ndio unaohitajika!! Ukiona mtu anafanya mambo ya Ajabu ujue upeo wa akili yake umefikia ukomo! Hii nchi ni kiki kiki tu zinatafutwa maendeleo ni baadae.
 
Mnaongea sana wakati hamna lolote!Mnajifanya mnajua kila kitu na kichama chenu uchwara.Kwa taarifa yako hata Durban(South Africa)tatizo hilo la upungufu wa mizigo limewakumba.DG kaelezea vizuri kuhusu hilo tatizo lkn wanywa viroba mnajitahidi kweli kuupotosha umma kwamba hilo ni tatizo la ki-siasa ilhali sivyo.Kwa akili zenu CCM itawatawala milele.
Punguza jazba na ondoa mahaba kwenye uchumi
 
Inapaswa ajenge mfumo wa kudumu kusaidia walemavu,ilipaswa aulize afisa jamii yupo wapi katika masuala haya.Bandarini hakuna mizigo Kwa sasa dalili mbaya ya uchumi ingawa export inatikiwa iwe Kubwa kuliko import Bali mizigo ya transit ni muhimu sana kwetu.
Nasikitika Tanzania kutokupata marais wanaojua uchumi utakuaje
Ni sawa na kumzuia mtoto wa kike asiende shule kwa kubomoa atabakwa.
 
Mnaongea sana wakati hamna lolote!Mnajifanya mnajua kila kitu na kichama chenu uchwara.Kwa taarifa yako hata Durban(South Africa)tatizo hilo la upungufu wa mizigo limewakumba.DG kaelezea vizuri kuhusu hilo tatizo lkn wanywa viroba mnajitahidi kweli kuupotosha umma kwamba hilo ni tatizo la ki-siasa ilhali sivyo.Kwa akili zenu CCM itawatawala milele.
Japo mm sio mwanasiasa ila huu ni ugonjwa mkubwa ambao hauna tiba uliopo vichwani mwenu nyie ambao kila mtu akijaribu kuonyesha njia mbadala mnamuona ni mpinzani kisiasa. Hivi manadhani kila mtanzania ni mwanachama wa chama fulani? Tupo wengi watanzania huru ambao hatupendezwi na baadhi ya mambo ya mwenendo wa serikali yetu. Je, sisi haturuhusiwi kuchangia au kushauri? Hebu fungukeni japo kidogo basi hata kama mlinyweshwa maji ya bendera
 
RAIS AMEFANYA VIZURI KUMNUNULIA BAJAJ NA NYIE UKAWA BADALA YA KUWANUNULIA VIROBA VIJANA WAANDAMANE MUWAPE HIZO PESA WALEMAVU
 
Inapaswa ajenge mfumo wa kudumu kusaidia walemavu,ilipaswa aulize afisa jamii yupo wapi katika masuala haya.Bandarini hakuna mizigo Kwa sasa dalili mbaya ya uchumi ingawa export inatikiwa iwe Kubwa kuliko import Bali mizigo ya transit ni muhimu sana kwetu.
Nasikitika Tanzania kutokupata marais wanaojua uchumi utakuaje

Pumbavu,
 
Back
Top Bottom