Rais Dk Magufuli aahidi kumnunulia mlemavu bajaji

Rais Dk Magufuli aahidi kumnunulia mlemavu bajaji

Ni baada ya kuangalia taarifa ya habari ya TBC iliyo muonyesha mlemavu huyo akitumia baiskeli ya kawaida na kuhatarisha maisha yake.View attachment 382776
mheshimiwa raisi ameahidi kumsaidia mlemavu huyo bajaji ndani ya wiki moja kutoka katika msahara wake

Huyu Mlemavu namfahamu, dah huwa namshangaaga sana, hongera
 
Huyu kaka anakipaji sana apewe tu hiyo Bajaji. Wengine nao waige na waache kuomba omba
 
Sioni tatizo kwa mlemavu kununuliwa bajiji,
Sababu kuu, mlemavu alimuomba direct magufuli amnunulie
 
Inapaswa ajenge mfumo wa kudumu kusaidia walemavu,ilipaswa aulize afisa jamii yupo wapi katika masuala haya.Bandarini hakuna mizigo Kwa sasa dalili mbaya ya uchumi ingawa export inatikiwa iwe Kubwa kuliko import Bali mizigo ya transit ni muhimu sana kwetu.
Nasikitika Tanzania kutokupata marais wanaojua uchumi utakuaje
Mzee hujaeleweka mkulu aliyepita alikua mchuma ama hukusoma cv yake kabla ya kupiga kura? Wewe pendekeza mambo usilete litania ya lawama jaribu kuwa mchumi siyo mwanaharakati
 
Mnaongea sana wakati hamna lolote!Mnajifanya mnajua kila kitu na kichama chenu uchwara.Kwa taarifa yako hata Durban(South Africa)tatizo hilo la upungufu wa mizigo limewakumba.DG kaelezea vizuri kuhusu hilo tatizo lkn wanywa viroba mnajitahidi kweli kuupotosha umma kwamba hilo ni tatizo la ki-siasa ilhali sivyo.Kwa akili zenu CCM itawatawala milele.

Sina lingine zaidi
 
Ni baada ya kuangalia taarifa ya habari ya TBC iliyo muonyesha mlemavu huyo akitumia baiskeli ya kawaida na kuhatarisha maisha yake.View attachment 382776
mheshimiwa raisi ameahidi kumsaidia mlemavu huyo bajaji ndani ya wiki moja kutoka katika msahara wake
Hivi na hii ni habari ya kutuwekea hapa jf?
 
Yule mgonjwa wake wa Muhimbili aliishia wapi?
Walemavu wako wangapi hapa nchini wasio pata nafasi ya coverage ya media? Alitakiwa aweke utaratibu wa nchi mzima kuwahudumia watu wenye matatizo kama ya huyo ndugu yetu na wengine pia
 
Mnaongea sana wakati hamna lolote!Mnajifanya mnajua kila kitu na kichama chenu uchwara.Kwa taarifa yako hata Durban(South Africa)tatizo hilo la upungufu wa mizigo limewakumba.DG kaelezea vizuri kuhusu hilo tatizo lkn wanywa viroba mnajitahidi kweli kuupotosha umma kwamba hilo ni tatizo la ki-siasa ilhali sivyo.Kwa akili zenu CCM itawatawala milele.
Wewe wacha ukichaa kuilinganisha Durban na hii ya kwenu bongo? Bandari ya Durban hawana mambo ya siasa, nenda mombasa uone wanavyo fanya maajabu kwa kujikusanyia wafanyabiashara wote walio ikimbia bandari ya dsm, wacha kudanganya watu kwa kujipa moyo na kutetea uzembe
 
Wanaohitaji msaada huo wapo wengi, kinachotakiwa ni kuweka mfumo utakaohakikisha walemavu wanapata misaada. Huyo atapata msaada kwa sababu tu alionekana TBC1,vipi wale ambao hawakupata fursa ya kuonekana luningani, au nao hawana shida? Si kila mlemavy atataka kuonekana TBC1 ili apate bajaj, hapo si ni kutengeneza lawama tu.
 
Back
Top Bottom