Rais Bush aenda Baghda kwa mara ya mwisho na arushiwa kiatu

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Nov 5, 2008
4,728
2,259
Wadau wa JF, leo Rais Bush wa marekani aliingia Baghdad kwa siri kubwa na baada ya kuonana na wenyeji wake akaitisha mkutano wa waandishi wa habari.Mmoja wa waandishi wa habari mIraq, akavua kiatu chake na kumrushia mfalme huyo wa dunia.
Bush akakikwepa kiatu kile na kama kawaida yake akajoke"That was a size ten shoe!" huku walinzi wake wakitweta.
Hii ni kali ya kumalizia mwaka kwa Bush-source CNN
 
Duh,sawa sawa kabisa.Amekutana na mzalendo wa kweli.I wish Tanzania tungekua na watu wa aina hiyo kama 100 tu.
 
Back
Top Bottom