Rais barack obama akiwa ufukweni

Rais barack obama akiwa ufukweni

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956


attachment.php










Rais wa marekani Mhe. Barack obama akiwa fukweni akila raha kidogo

 

Attachments

  • Obama.jpg
    Obama.jpg
    27.7 KB · Views: 1,452
hamchelewi kusema anatumia kodi vibaya..!!!duuhh

Lazima tuseme kwa sababu lazima aende na vifaru vya jeshi na helkopta za kulinda usalama angani bila kusahau police na wanajeshi wasiopungua 100 watakaolipwa per day zao kumlinda, wenzetu simple zaidi.
 
Naona BHO alikuwa Enzi zile kabla hajawa Rais au just after being the Mr. President maana picha zinaonesha watoto wakiwa wadogo, namwona Shasha na Malia at that age. But BHO is a family man na ninamheshimu sana kwa hilo. Na hili limempa sifa sana mbele ya wamarekani vinginevyo ungekuta wameshamwandika sana vibaya na famila yake. Kudos BHO.
 
Back
Top Bottom